the student with index no.# did not secure loan for academic year 2013/2014

faraji yassin

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
243
Reaction score
24
Mimi ni miongoni kati ya wale tuliandikiwa huo ujumbe sasa sisi ndio tumekosa mkopo au kuna awamu ya pili maana kama hamna tena wengine ndoto zetu zinaishia apa....!
 
Nakushauru kama upo dar nenda ofisi zao uwezekano wa kupata majibu ya kuridhisha ni mdogo sana humu jamvini
 
hata mie hivyo hvyo. Na j3 naenda ofis zao nkajue hyo not secure ndo nini
 
Me naamini wafanyakazi wa bodi humu wamo..kwanini wasieleze wanamaanisha nini hiyo sentence. .nna mdogo wangu ana div 1 ya 9 na kozi ni ya afya kakosa loan..huu ni uonevu buree wa bodi kwa watoto wa maskini
 
Me naamini wafanyakazi wa bodi humu wamo..kwanini wasieleze wanamaanisha nini hiyo sentence. .nna mdogo wangu ana div 1 ya 9 na kozi ni ya afya kakosa loan..huu ni uonevu buree wa bodi kwa watoto wa maskini

kiukweli inasikitisha sana
 
ndugu zangu mkifika bodi mtujuze mtakayojulishwa tafadhalini huu msiba wa wengi
 
Kimsing, kuna hawamu kadhaa katika loans releasing baada ya kufungua vyuo...matatizo katika mikopo ni ki2 cha kawaida kupata inawezekana ndugu zangu msijali-mi nimemaliza chuo mwaka huu mkopo wangu wa kwanza nilipata semester ya pili inamaana semester ya kwanza nilijilipia each en evryting ila walikuja kunijumlishia zote
 

kwa hyo kaka ulilipwa zile ambazo ulilipa mwaka wa kwanza au?
 
kiukweli inasikitisha sana

dah mkuu kuna mtoto mmoja wa marian girls amepiga marian tangu form 1 hadi 6 afu ni wa kishua mkopo kala kama 90 hivi ila ni MD. Sisi watoto wa mbwa tumekula not secured afu kozi ni priority hata kama sio priority. Kama kuna jamaa angu toka form 1 hadi 6 ada amelipa 220,000 kozi education mkopo amekula not secured kiroho safi yani, hiv hio ni haki kweli? #kama unamkumbuka shabani athman yule mtanga wa hge team umbwe.
 

dah inasikitisha sana kiukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…