faraji yassin
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 243
- 24
Mimi ni miongoni kati ya wale tuliandikiwa huo ujumbe sasa sisi ndio tumekosa mkopo au kuna awamu ya pili maana kama hamna tena wengine ndoto zetu zinaishia apa....!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakushauru kama upo dar nenda ofisi zao uwezekano wa kupata majibu ya kuridhisha ni mdogo sana humu jamvini
poa kaka nimekuelewa nashukuru
Mungu akupe nguvu najua unavyojisikia
bro nashukuru sana kwa kufahamu maumivu niliyonayo mungu akubariki kwa kila jambo ufanyalo
pole jaman mie nmelamba 4mil
Me naamini wafanyakazi wa bodi humu wamo..kwanini wasieleze wanamaanisha nini hiyo sentence. .nna mdogo wangu ana div 1 ya 9 na kozi ni ya afya kakosa loan..huu ni uonevu buree wa bodi kwa watoto wa maskini
Hello![/QU
we acha kejeli
Kimsing, kuna hawamu kadhaa katika loans releasing baada ya kufungua vyuo...matatizo katika mikopo ni ki2 cha kawaida kupata inawezekana ndugu zangu msijali-mi nimemaliza chuo mwaka huu mkopo wangu wa kwanza nilipata semester ya pili inamaana semester ya kwanza nilijilipia each en evryting ila walikuja kunijumlishia zote
kiukweli inasikitisha sana
dah mkuu kuna mtoto mmoja wa marian girls amepiga marian tangu form 1 hadi 6 afu ni wa kishua mkopo kala kama 90 hivi ila ni MD. Sisi watoto wa mbwa tumekula not secured afu kozi ni priority hata kama sio priority. Kama kuna jamaa angu toka form 1 hadi 6 ada amelipa 220,000 kozi education mkopo amekula not secured kiroho safi yani, hiv hio ni haki kweli? #kama unamkumbuka shabani athman yule mtanga wa hge team umbwe.