the student with index no.# did not secure loan for academic year 2013/2014


correction please,... Huyo demu wa marian girls kala mia kwaio halipi chochote. Kweli mikopo wanapata wasio stahili
 
Ila me namshukuru mungu ingawa riba haramu kwa imani yangu nimepata mkopo mkubwa sana coz nachangia kama 220,000 tu kwenye ada. Ila kesho naenda loan board insha'allah kuna mishe nafatilia pale.
 

Me cjui wanafuata wigezo gan hawa watu wa loan.
 
afu wanatoa majibu mabaya sana kwa 2lioenda ofisin kwao dah kiukweli hii nchi imeshauzwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…