the student with index no.# did not secure loan for academic year 2013/2014

dah mkuu kuna mtoto mmoja wa marian girls amepiga marian tangu form 1 hadi 6 afu ni wa kishua mkopo kala kama 90 hivi ila ni MD. Sisi watoto wa mbwa tumekula not secured afu kozi ni priority hata kama sio priority. Kama kuna jamaa angu toka form 1 hadi 6 ada amelipa 220,000 kozi education mkopo amekula not secured kiroho safi yani, hiv hio ni haki kweli? #kama unamkumbuka shabani athman yule mtanga wa hge team umbwe.

correction please,... Huyo demu wa marian girls kala mia kwaio halipi chochote. Kweli mikopo wanapata wasio stahili
 
Ila me namshukuru mungu ingawa riba haramu kwa imani yangu nimepata mkopo mkubwa sana coz nachangia kama 220,000 tu kwenye ada. Ila kesho naenda loan board insha'allah kuna mishe nafatilia pale.
 
dah mkuu kuna mtoto mmoja wa marian girls amepiga marian tangu form 1 hadi 6 afu ni wa kishua mkopo kala kama 90 hivi ila ni MD. Sisi watoto wa mbwa tumekula not secured afu kozi ni priority hata kama sio priority. Kama kuna jamaa angu toka form 1 hadi 6 ada amelipa 220,000 kozi education mkopo amekula not secured kiroho safi yani, hiv hio ni haki kweli? #kama unamkumbuka shabani athman yule mtanga wa hge team umbwe.

Me cjui wanafuata wigezo gan hawa watu wa loan.
 
afu wanatoa majibu mabaya sana kwa 2lioenda ofisin kwao dah kiukweli hii nchi imeshauzwa
 
Back
Top Bottom