Boramaisha
JF-Expert Member
- Apr 29, 2009
- 820
- 18
Usitafute links. Kama kweli wewe binafsi unaamini kwamba Mwalimu alikuwa dictator ni rahisi zaidi kwako kuandika hapa kuliko kutafuta yaliyoandikwa na watu wengine maana si yako. Kwa maana nyingine you are just believing in other people's convictions and not your own! Bendera yafuata upepo au sio?Hapana.
Nitajaribu kukutafutia Links ya hicho unacho hitaji then nitakuwekea hapa,lakini ungeweza kufanya mwenyewe.
Usitafute links. Kama kweli wewe binafsi unaamini kwamba Mwalimu alikuwa dictator ni rahisi zaidi kwako kuandika hapa kuliko kutafuta yaliyoandikwa na watu wengine maana si yako. Kwa maana nyingine you are just believing in other people's convictions and not your own! Bendera yafuata upepo au sio?
Jamani kweli science imefanya mapinduzi mengi,lakini hapa ni kitugani cha kufananisha na science?maana mkeka na hilo chepeo vilikuwepo tokea enzi hizo,jamani kama umeshindwa mtetea mkulu muache ajitetee mwenyewe!!mimi naamini ni advancement ya sciences na technologies ndiyo inayowatofautisha
If you are really convinced that Mwalimu was a dictator what makes it so difficult for you to prove it even by a few sentences here?! Sihitaji uandike kitabu ama 'uteremshe' waliyoandika wengine hata kama ni pamoja na wewe ambaye ni dhahiri unafuata upepo tu. What I gather ni kwamba you base your argument kutokana na waliyoandika wengine ama uliyowahi kusimuliwa maana it is obvious you were not there when Mwalimu was exercising his 'dictatorship' to be able to convince others without reasonable doubt that he was a dictator!
sasa kama ni hivyo mbona mnamushambulia kwa kutia mkeka, sijui mwingine kachuchumaa eti shupavu? teh teh teh contadiction nyingi.
Mhukumuni kwa matendo na si mambo ya picha, uko servative nafikiri nalo ni tatizo sana kwetu.
Mifano mingi ilishatolewa ya huyu Tyrant,hapa hapa JF,kulikuwapo na Threads nyingi huko nyuma za kumuhusu Baba wa Taifa Mwalimu JK,hivyo sina haja ya kudurusu kilicho andikwa huko nyuma ndio maana nikamuuliza kwamba ,"hajui?"
Unless wewe uwe unatatizo!ningekushauri kabla ya kurukia utafute kwenye Archive.
Alafu,Jakaya kwa nionavyo mimi kwa muda wake huu wauongozi,angetawala hata nusu tu ya jinsi ya Mwalimu alivyo tawala (ukiondoa hii sijui kushika udongo au kwenda kulima na jembe shamba (wakati wenzetu wanatumia ma-tractor kulima) na kubeba tololi for show ) ni wazi kabisa tungekuwa tuko kwenye giza kiasi hata JF isengalikuwapo.
I don't agree with the highlighted. You can not beat the DotCom era. Kitu ambacho angefanya ni kupiga marufuku Internet kutumika Tanzania kama alivyobana Television, jambo ambalo kwa sasa angeonekana ni zaidi ya Kichaa cha dogi. Ila Mitandao ingeendelea kumsema kama ilivyo sasa. Kwa ujumla JK anaongoza nchi katika mazingira tofauti na ya JKN hivyo kuwalinganisha hawa wawili style zao za leadership ni sawa na kufanisha George Washington era and Obama era.
Y even compare?
May be kwakuwa zama zimetofautiana.
I don't agree with the highlighted. You can not beat the DotCom era. Kitu ambacho angefanya ni kupiga marufuku Internet kutumika Tanzania kama alivyobana Television
Sawa GS zama zimetofautiana nikupe mfano mmoja tu simple wa ethics za uongozi anyway si lazima awe kiongozi mtu yeyote sheria ya kujamiiana imekuja juzi juzi tu zamani haikuwepo lakini code of conducts zilikuwepo kiongozi alitakiwa aji behave kama anavyotakiwa wa sasa kiongozi akionekana amelewa hadharani na kujidhalilisha ama kutembea na wanawake hovyo au kubaka alikuwa anapoteza hadhi ya kuitwa kiongozi hakukuwa na hizi sheria wala hili haijalishi technologia nzuri au mbaya kiasi gani