Mifano mingi ilishatolewa ya huyu Tyrant,hapa hapa JF,kulikuwapo na Threads nyingi huko nyuma za kumuhusu Baba wa Taifa Mwalimu JK,hivyo sina haja ya kudurusu kilicho andikwa huko nyuma ndio maana nikamuuliza kwamba ,"hajui?"
Unless wewe uwe unatatizo!ningekushauri kabla ya kurukia utafute kwenye Archive.
Alafu,Jakaya kwa nionavyo mimi kwa muda wake huu wauongozi,angetawala hata nusu tu ya jinsi ya Mwalimu alivyo tawala (ukiondoa hii sijui kushika udongo au kwenda kulima na jembe shamba (wakati wenzetu wanatumia ma-tractor kulima) na kubeba tololi for show ) ni wazi kabisa tungekuwa tuko kwenye giza kiasi hata JF isengalikuwapo.