Asante MMKJJ kwa kutupatia kiji compare and contrast hizo picha.
Nyerere was genuine, JK ni msaani.
Nyerere was down to earth, JK ni Bishoo.
Nyerere alifanya mambo akiamini toka moyoni mwake, JK anafanya mambo ili watu waone.
Picha zinasaidia kuwasoma watu kuanzia machoni, kichwani mpaka kilichopo humo ndani ya vichwa vyao, ukiona profile picha ya Mwalimu, you can see the substance in it, na ukiona smiles za Mkulu, you can see the emptyness.
Japo picha ni deceiving sometimes, kama icon ya Mzee Mwanakijiji, inaendena kabisa na maandishi yako, inawezekana ukijakuona the true picture, you might be surprised to get a diferent impression. Kwenye picha hapo tukio hilo lilipangwa kabla na mkulu akatayarishiwa kila kitu, wakati wa Mwalimu, jamaa alikuwa huwa anaamua tuu.
Ukisikiliza hotuba za Mwalimu, you can tell maneno yanayotoka moyoni kupitia mdomoni, lakini JK ni maneno yatokayo mdomoni, anayasema aliyoandikiwa ili watu wasikie tuu, japo kwa hili nakiri, kuna mara chache sana, anaongoe kutoka moyoni, and he mean what he says.
Nyarere hakuwa na marafiki, alikuwa na washirika katika ujenzi wa taifa, ukiboronga, unapigwa chini, JK ana wapambe, kwa vile na yeye aliingia Ikulu kwa stahili hiyo, them hana guts na kuwarudi hao wapambe wake, hata wakiboronga vipi.