The Tanzanian Commission for Universities blocks Kenyan Universities from recruiting Tanzanians

Wanahabari wetu wako macho, jambo lolote likitokea kokote duniani na lina uhusiano na Kenya, watalijua mara moja , si kama wanahabari wenu manangojea hotuba za CCM itaje kitu alafu ndo waripoti kilicho tajwa
Macho gani hayo yenye makengeza! Vimefungiwa jumla ya vyuo 19 vya kikenya viwili kati ya hivyo!

Halafu unakuja hapa na kusema tumefungia vyuo vyenu! Sasa ngoja dawa iwaingie vizuri! Waambieni hao waandishi wenu wenye macho ya makengeza kuwa tuna mpango wa kufunga KQ na KCB
 
Yes it's a tweet with limited characters! Na ndio maana tunatumia fursa hii kuwaelewesha nyie wakenya mnaosoma hiyo tweet,!
 
I said it.
Soon , we are coming for KCB Bank and Kenya airways.

Till you respect us.
 
I said it.
Soon , we are coming for KCB Bank and Kenya airways.

Till you respect us.
Wewe ni zumbukuku kweli. Ukifukuza KQ utasafiri ulaya vipi? Tutawazuia kuja JKIA kwani lazima mje Kenya ndio msafiri kuelekea United Kingdom, China n.k. Itabidi muende Afrika Kusini Oliver Tambo Airport ndio mpate kuenda Guangzhou China kununua Mali ya kibiashara
 


Time will tell, if you continue behaving like a female goat.
 
Hivi wewe unaongea nini? Unajitambua ?unauhakika kwamba watuwanaenda ulaya kutoka dar kwa kq peke yake?
 
Nyie ni Nyumbu kweli aisee, elimu yanu ni ya hovyo ndio maana mnaanika upumbavu wenu bila aibu kama wewe hapa.
Your education system is wanting.
 
Can you pls right 140 characters mentioning jkua and ku being banned from admitting students in Tz..
Simple! How about this "2 Kenyan University Colleges in TZ among 19 banned for irregularities!"?
Less than 100 characters, but still balanced. Alternatively, a second tweet could have clarified more.
 
Ethiopian Airways.
 
FYI waTanzania wengi wakienda ulaya hawapiti hapo banda la kuku (JKIA), tuna options nyingi na cheaper than your broke-ass airline (Oman Air, Etihad, Emirates, Swiss e.t.c)

Most of the connections ni zile za within Africa, na siku hizi Ethiopian is more attractive.. and ATC is coming soon.

FYI.
 
Vyombo vya habari kenya nivya hovyo
tulisha vidharau kwa Kukuza habari
 

Kwa upunguani huu sidhani hata JKIA umeshawahi kufika, utakuwa mtu wa ocha wewe.
 
Hii ni vita baridi ambayo T.Z inapigana na Kenya. Lakini tutaona ni nani atashinda. Hamuezi kushinda Kenya kwenye vita baridi
Madhara ya kuvimbewa Githeri....

KIMEO CHANGU
 
Njaa itakuwa inakusumbua wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…