Synod
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 4,143
- 4,180
Macho gani hayo yenye makengeza! Vimefungiwa jumla ya vyuo 19 vya kikenya viwili kati ya hivyo!Wanahabari wetu wako macho, jambo lolote likitokea kokote duniani na lina uhusiano na Kenya, watalijua mara moja , si kama wanahabari wenu manangojea hotuba za CCM itaje kitu alafu ndo waripoti kilicho tajwa
Halafu unakuja hapa na kusema tumefungia vyuo vyenu! Sasa ngoja dawa iwaingie vizuri! Waambieni hao waandishi wenu wenye macho ya makengeza kuwa tuna mpango wa kufunga KQ na KCB