Heading inasema "things women do" lakini ndani kumejaa vitu avifanyavyo mwanamme!
Sasa mwanamme kumkana mama yake hicho amekifanya mke pia?
Umeona eeh! Ukianzia kwa Adamu, alilishwa kwa nguvu hilo tunda?? Mimi naona tukubaliane tu Leo kuwa wanaume ni weakbeings na ndio maana hutumia nguvu nyingi (kuwa aggressive) kuprove otherwise.
Moja hukamia kumtawala mumewe.....................hata Hawa usifikiri alipompelekea Adam lile tunda hakujua yalikuwa ni makosa ila alimtega mumewe kuona kama anampenda Mwenyezi Mungu au yeye mwanamke na hivyo njia ya kumpima Adam mumewe kama ataweza kumtawala..................
pili...wanaumme wengi wapo kwenye dhiki kwa sababu ya kukubali kutawaliwa na matakwa ya wake zao.......................sembuse mke kwani hata mpenzi wa baki kama umetembea naye huyo naye sasa mmekuwa mwili mmoja.............Soma 1 Corinthians 6:16
Tatu.............wanaumme huhangaika kujenga nyumba kubwa, kuwa na magari ya kifahari, vyeo lukuki n.k ikiwemo kujiendeleza.................lakini lengo lao siyo kwa ajili ya mahitaji yao binafsi wanapokusanya utitiri wa mambo hayo.....................bali kumthibitishia mwanamke ya kuwa wana kauwezo wa kuwa mpagasi wa mwanamke..........................na kumtumikia mwanamke kwa utashi na ujasiri wao wote........vilivyo.......
Nne.................mwanaumme humpenda mkewe kulikoni wazazi wake............na hata ikibidi huwakana wazazi tajwa ili kutii matashi ya mkewe...................mawifi hulalama kuwa kaka yao katawaliwa lakini yote hayo huwa yameelekezwa kwa kiziwi na/au bubu............
tano .......................mwanamke hutamba ya kuwa huyu jamaa yake aachiwe yeye maana yeye ndiye humjulia alivyo...................kwa hiyo ajua afanye nini ili apate mradi wake........kutoka kwa dume lake............................
sita.........................pamoja na wazazi wa mwanaumme kumgharimia mtoto wao wa kiumme....................na pamoja kudhania kuwa atawasaidia watakapokuwa wazee....................lakini mweye sauti ya watasaidiwaje ni mwanamke.............mtoto wao wa kiume huwa ni kiwete/ na zezeta vile hapo kwenye maamuzi hana sauti...........na wazazi hushangaa kumbe aliyezaa ni yule aliyezaa mwanamke huyu mwanaumme waliyekuwa wanamthamini sana kuwa atakuwa kimbilio lao uzeeni kumbe siyo fimbo ya mnyonge kabisa wa kabisa.......
saba.....................ndugu wa mwanamke ndiyo hufaidi jasho la mumewe.............na huku ndugu wa mwanaumme hutupiwa virago kuwa waende kutafuta vya kwao....................wao huonekana ni viwavi jeshi lakni ndugu wa mwanamke huonekana wao ndiyo wastahiki wa kulilamba jasho la mumewe.........................
these are the things women love to do.......................ninajua watabisha sana humu jamvini lakini penye ukweli uongo hujitenga..........
Umeona eeh! Ukianzia kwa Adamu, alilishwa kwa nguvu hilo tunda?? Mimi naona tukubaliane tu Leo kuwa wanaume ni weakbeings na ndio maana hutumia nguvu nyingi (kuwa aggressive) kuprove otherwise.
Mimi sipo kwenye hoja bali kichwa cha thread ndiyo kimeniacha hoi, usihofu ni kiswahili kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi kwikwi heeeeeeeeeeh.
Acha kuendelea kudangany wewe, kama Mungu alikuwa na maana hiyo mbona sehemu kubwa ktk Biblia mmewekwa kundi moja na watoto? Na ktk matukio mengi mlikuwa hamhesabiwi isipokuwa ni wanaume tu. Wewe ni assistant wa mume hebu watafute wajuzi wa kiinglishi wakutafsirie maana ya hilo neno.kwa wasomaji wa biblia Mwanzo 2:18 na 21-22. Hata MUNGU mwenyewe alieumba kila kitu alimtazama mwanamume kama kiumbe dhaifu, na akasema si vema akae peke yake, akamfanyia MSAIDIZI ( mara zote msaidizi ni mtu ambaye huwa na uwezo mkubwa kuliko msaidiwa) na pamoja na udhaifu alioubaini akauongezea kwa kutoa mbavu zake ili amuumbe mwanamke, hapa naamini mwanamume akapungukiwa zaidi na mke akapewa nguvu! sijaona mahali Mungu alimfanyia mbwa msaidizi.. alimfanyia binadamu kwa kuwa alijua ni dhaifu. mimi kwangu mwanamume huwa namtizama kama MGONJWA na ninaamini wanawake ni NURSES na hasa nikizingatia Doctors hutibu UGONJWA while nurse anatibu MGONJWA (i.e. mtu) kwa hiyo anauwezo mzuri sana wa usaidizi kwa mgonjwa pengine kuliko dr.