BIGURUBE JF-Expert Member Joined Mar 11, 2014 Posts 6,748 Reaction score 4,252 Dec 5, 2014 #1 Wadau kuna mahali nilikuta hii kitu, kuna habari kuwa dunia inaongozwa na familia (Clan). Familia hizi zilianzishwa zaidi ya miaka 2000 iliyopita na zina nguvu sana kisiasa na kiuchumi. Mwenye kujua zaidi juu ya hili tusaidiane elimu hii
Wadau kuna mahali nilikuta hii kitu, kuna habari kuwa dunia inaongozwa na familia (Clan). Familia hizi zilianzishwa zaidi ya miaka 2000 iliyopita na zina nguvu sana kisiasa na kiuchumi. Mwenye kujua zaidi juu ya hili tusaidiane elimu hii