Wadau kuna mahali nilikuta hii kitu, kuna habari kuwa dunia inaongozwa na familia (Clan). Familia hizi zilianzishwa zaidi ya miaka 2000 iliyopita na zina nguvu sana kisiasa na kiuchumi.
Mwenye kujua zaidi juu ya hili tusaidiane elimu hii
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.