chilonge
JF-Expert Member
- Dec 23, 2014
- 1,531
- 2,912
Ubishi ni kipaji chako.
Kivipi uconclude mimi mbishi while tupo kwenye kuelekezana?!
Kwanini umeamua kujificha kwenye kichaka cha 'ubishi’ wangu bila ya kutoa hoja zenye mashiko?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ubishi ni kipaji chako.
Wataamini tu wakati ukifika...Waungwana hilo hawalioni kabisa yenyewe wanatuhukumu kwa matukio yalopita
Hapo penye media shida kubwa hiyo namkumbuka Owen wa 1998 anawafunga Argentina ilikuwa khatari sanaWataamini tu wakati ukifika...
Vyomba vya habari huwa navyo vinachangia sana kuharibu timu, nikikumbuka 2010 Rooney walivyokuwa anapambwa daaaah... Halafu alivyoenda WC akaishia kumbwela tu!