Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,120
kwanini watu wanawahi kuoa? Better yet, kwanini wanaoa at all kama hawawezi kukaa na mwanamke mmoja?
Hata wasio weusi nao wamo. Tatizo ni kuwa watu weusi wakifanya basi wengine wanasema Mijitu myeusi ndivyo ilivyo.
Unajua one drop rule ya Marekani? Tone moja la damu yeusi inamfanya mtu awe mweusi. Unaijua kesi ya Susie Phipps? Isome hapa:
Michael Omi and Howard Winant on racial formation
Huyu hata akane vipi, mbele ya macho ya wengi ni mweusi. Hawezi kuitwa mzungu au mthai kutokana na kuwa na hizo damu bali atawekwa moja kwa moja kwa weusi kutokana na hako katheluthi alikorithi kutoka kwa baba yake.
Maoni yangu kuhusu weusi hayana maana, yenye maana ni ya wale walioniweka kwenye kundi hili. Wengine waigundua kuwa ni weusi walipoingia ulaya. Kabla ya hapo walikuwa binadamu. Kamsome Frantz Fanon kwa maelezo zaidi.
Amandla.......
one drop rule is scientifically inaccurate. Unabisha? Kwa hiyo, as far as i'm concerned, tiger woods siyo mweusi. Yuko sahihi kabisa (kisayansi) kujiita cablinesian.
Hata obama siyo mweusi. Kama yeye ni mweusi basi hata wazungu wana kila haki ya kum-claim kwa sababu ni nusu mzungu na nusu mweusi. Hilo halina ubishi. Na mimi hapa nazungumzia sayansi na sio perceptions zilizo based on ignorance.
Kwa hiyo unless ukinithibitishia kuwa wazazi wote wawili wa tiger woods ni weusi tii, na wazazi wa wazazi wake ni weusi tii, basi hapo ndo nitakubali kuwa tiger woods ni mweusi. Mpaka hapo mimi nakubaliana naye na u calibnesian wake.
Kwa hiyo tone moja la damu nyeusi, kisayansi, halimfanyi mtu awe mweusi kwa sababu unaweza uka-argue the same kuwa tone moja la damu nyeupe linamfanya mtu awe mweupe. So what's the difference there? Just because way back when white folks said that if you have one drop of black blood then you are black, it doesn't mean that they were right. Scientifically they were wrong and it is still wrong and it will forever be wrong. You can't mix black and white and get black let alone mixing black, white, and yellow!!!!!!!
Jaribu siku moja kuchanganya rangi nyeusi na nyeupe uone utapata rangi gani.
black +white = grey.
Ungekuwa unajua kuhusu baadhi ya Wazungu wanavyowachukia weusi wala usingeshangaa na nilichooandika. Vitisho dhidi ya maisha ya Obama vimeongezeka kwa idadi kubwa sana ukilinganisha na Rais yoyote yule na naamini kwamba vitisho hivi asilimia kubwa vitakuwa ni kutoka kwa Wazungu. Hii inatokana na chuki binafsi za baadhi ya Wazungu kwa weusi. Tiger Woods pamoja na mafanikio yake makubwa bado kuna viwanja ambavyo alikuwa haruhusiwi kucheza kutokana na ngozi yake nyeusi mpaka miaka ya hivi karibuni
Mama Elin kwa confession hiyo una haki ya kudai talaka na mabilion ukatoweka mapema maana hali ya Twoods itashuka tuu. Hili ni dili la kummaliza kabisa. Na kwa hakika atatikisika sana kimaisha na kifani.
For sure hii haitakuwa tena ndoa bali ni ndoana. No way nifahamu mwenzangu ni cheater halafu unimbie trust and love will be the same, no a big no.
Tuheshimu ndoa zetu na leo nimekubaliana sana na arguments za Julius na wengine wenye mtizamo kama wa kwake. Ni heri usioe/olewe kuliko usaliti ndoa yako, utapata aibu hasa ukizingatia kuwa sheria za ndoa za wenzetu haziongopi, hakuna kula kona huko. Pengine ingekuwa Tz ndipo mchezo mchafu unafanyika na haki unaikosa au unapata kidogo kwa kuwa huna financial influence.
Take it easy our celeb Tiger WOODS!!!!! The end of it.!!!!!!!
hii ya kwako sasa loh ...
hheheheehe ,nadhani nilisema wa kwanza kua , huyu jamaa alikua anakimbizwa na mkewe na mkewe alivunja dirisha sio kwa nia ya kumuokoa ni kwasababu alikua na hasira baada ya kuona Mr Tigger akitoka baruti seep 120.
</H1><H1>Sheriff's office: 911 call came from Woods' house
WINDERMERE, Fla. The Orange County Sheriff's Office is confirming that fire department medics responded to a 911 call at Tiger Woods' Orlando-area home early Tuesday.
AP FILE - In this Nov. 15, 2009 file photo, Tiger Woods, tips his cap to the crowd after he finished his
Sheriff's spokesman Jim Solomons told The Associated Press the office got a 911 call from Woods' home at 2:35 a.m. Tuesday and transferred it to Orange County Fire Rescue.
Orange County Fire Rescue spokeswoman Genevieve Latham earlier wouldn't confirm the address but said an adult was taken to Health Central Hospital in Ocoee, the same place Woods was treated after he crashed his sport utility vehicle outside his home last month. The patient's condition wasn't immediately known.
Media attention has been focused on the world's No. 1 golfer since he hit a hydrant and a tree around 2:25 a.m. on the Friday after Thanksgiving.
THIS IS A BREAKING NEWS UPDATE. Check back soon for further information. AP's earlier story is below.
WINDERMERE, Fla. (AP) Fire department medics responded early Tuesday to a 911 call in the same block as Tiger Woods' Orlando-area home and took an adult to the hospital.
A spokeswoman for Orange County Fire Rescue would not confirm local news reports that the 2:36 a.m. call came from Woods' home early Tuesday or that the patient was a woman. Spokeswoman Genevieve Latham told The Associated Press that an adult patient was taken to Health Central Hospital in Ocoee, the same place Woods was treated after he crashed his sport utility vehicle outside his home last month. The patient's condition wasn't immediately known.
Media attention has been focused on the world's No. 1 golfer since he hit a hydrant and a tree around 2:25 a.m. on the Friday after Thanksgiving. The Florida Highway Patrol last week cited Woods for careless driving and fined him $164.
The accident and Woods' refusal to answer questions about it fueled speculation about a possible dispute between him and his wife, Elin.
Just days before the crash, a National Enquirer story alleged Woods had been seeing a New York nightclub hostess, Rachel Uchitel, who has denied it. After the crash, Us Weekly reported that a Los Angeles cocktail waitress named Jaimee Grubbs claims she had a 31-month affair with Woods.
Last week, Woods issued a statement saying he had let his family down with unspecified "transgressions" that he regrets with "all of my heart." He did not elaborate.
A police report on the crash released Monday showed that a Florida trooper who suspected Woods was driving under the influence sought a subpoena for the golfer's blood results from the hospital he was taken to after the crash, but prosecutors rejected the petition for insufficient information.
A witness, who wasn't identified in the report, told trooper Joshua Evans that Woods had been drinking alcohol earlier. The same witness also said Woods had been prescribed two drugs, Ambien and Vicodin.
The report did not say who the witness was but added it was the same person who pulled Woods from the vehicle after the accident. Woods' wife, Elin, has told police that she used a golf club to smash the back windows of the Cadillac Escalade to help her husband out. His injuries were minor.
The sister of a neighbor who called 911 after the crash told troopers that Woods' mother, Kultida, and mother-in-law, Barbro Holmberg, were also at the scene, but the AP has not been able to confirm that.
Eva Malmborg, a spokeswoman for Holmberg, said Tuesday that she could not comment on the reports about a woman being taken from Woods' neighborhood to the hospital.
"I haven't been in contact with her and like I said I don't know where she is and so I can neither confirm or deny anything," Malmborg said.
Malmborg confirmed Holmberg had taken a week's leave from her job as Gavleborg county governor in central-east Sweden, but said she did not know where Holmberg had gone.
There was no sign of emergency workers later Tuesday morning at the Woods' gated community, where luxury SUVs and cars drove in and out as a few reporters and television news trucks milled around outside.
___ Associated Press Writer Louise Nordstrom in Stockholm contributed to this report.
Oh well...he brought it all on himself. Cheating is wack. If you know you can't handle marriage life and being monogamous, don't commit and don't get married.
Hivi dude alioa ili iweje? With this healthy appetite and fame, alioa bila kutaka kuacha ufuska huu akitegemea nini?
Huyo mkewe ni trophy wife tu na dizaini jamaa alioa kwa sababu ya image tu kwa sababu it is becoming more and more apparent that dude is oversexed!