The tomorrow war: Nimeipenda hii movie.

The tomorrow war: Nimeipenda hii movie.

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,657
Reaction score
20,967
Mwak 2051 kinaibuka kiumbe hatari ambacho kinakaribia kumaliza binadamu wote. Wanatumwa watu kuja mwaka 2022 kuomba msaada wa kwenda mwaka 2051 kupambana na kiumbe hicho. Imenifurahisha, japo nimeona critics wameirate chini kama chini hivi.
The_Tomorrow_War_(2021_film)_official_theatrical_poster.jpg
 
Movie nyingine ya karibuni yenye maudhui kama hayo niliyoipenda ni Greenland. Movie hizi hunifikirisha kama Nchi yetu, au waafrika tupo tayari kwa kupambana na extinction level events(kama hii Covid19), au ni watu tunaotegemea rehema A Mungu na wengine.
Greenland_(film).png
 
Mwak 2051 kinaibuka kiumbe hatari ambacho kinakaribia kumaliza binadamu wote. Wanatumwa watu kuja mwaka 2022 kuomba msaada wa kwenda mwaka 2051 kupambana na kiumbe hicho. Imenifurahisha, japo nimeona critics wameirate chini kama chini hivi.View attachment 1848027
Ni movie zipi zinachekesha sana, Nitajie hapa nikipata muda nicheki unaonekana mjuzi wa movies
 
nilichoelewa, wanajaribu kuakisi effects za global warming na melting ya polar ice caps,
Yap. Kuna hayo maudhui. Mwishoni anauliza, inamaana ndani ya miaka 30 barafu yote hii itayeyuka? Halafu kuna wasiwasi kuwa ndani ya barafu kuna virusi hatari vya miaka na miaka vimejificha, inasemwa barafu kuyeyuka kunaweza ibua magonjwa ya hatari duniani.
 
kuna movie ya warusi inaitwa "SUPERDEEP", nao wana maudhui hayo hayo, ingawa wao waliyataka wenyewe, walichima shimo refu kuliko yote duniani, then wakakutana na fungus mmoja matata sasa, ambaye kwa mda mrefu amezuiliwa na ile baridi ya northpole.
 
Mwak 2051 kinaibuka kiumbe hatari ambacho kinakaribia kumaliza binadamu wote. Wanatumwa watu kuja mwaka 2022 kuomba msaada wa kwenda mwaka 2051 kupambana na kiumbe hicho. Imenifurahisha, japo nimeona critics wameirate chini kama chini hivi.View attachment 1848027
oya nahangaika nayo hapa kikass inazingua yts sisspati umedowloadia wapi ?
 
Back
Top Bottom