STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,076
- 17,247
I never thought Iyou said well bby
can love
someone as much as I
love You..
You are My everything
and I can't think about
anything
without You..
I am totally addicted for
you... !!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I never thought Iyou said well bby
huhuhuuuuuu that is y sometimes i don't sleep overnight jst imagining our wedding day what will be.I never thought I
can love
someone as much as I
love You..
You are My everything
and I can't think about
anything
without You..
I am totally addicted for
you... !!
Hahahah baby twende ndani ukanisaidie kuandika majina ya wageni waalikwa kwenye kadi za harusi yetuhuhuhuuuuuu that is y sometimes i don't sleep overnight jst imagining our wedding day what will be.
am blzd jaman and I can even say that again
ucjali bae, am coming soonHahahah baby twende ndani ukanisaidie kuandika majina ya wageni waalikwa kwenye kadi za harusi yetu
Bae naomba kadi namba moja aandikiwe Daby, ya pili LadyAj, pulizeeee+ ohoooooHahahah baby twende ndani ukanisaidie kuandika majina ya wageni waalikwa kwenye kadi za harusi yetu
Hurryupucjali bae, am coming soon
Kwaajili yako nitafanya kila kitu
thanks baeKwaajili yako nitafanya kila kitu
si mpaka akubaliChakarika tukuone kwenye list
Hello, MMU. Nadhani mpo Ok, zaidi poleni na shughuli za j3.
JF bhna[emoji23][emoji23], toka juzi watu wanashindana kutajana kwenye ziileee nyuzi. Ambao hawakutajwa walilalamika na kugomba vya kutosha. Ila Usife moyo watoto wazuri na wanaume bado wanazaliwa ipo siku (tutatajwa[emoji38][emoji38].)
(Kwa leo), wote tunajua kila sehemu ina best kapo. siyo shuleni..chuoni..kazini au hata mitaani..utaskia tu watu wanaiponti couple fulani na kuimiminia sifa. Hii ni kutokana na upendo,ukaribu na urafiki wenza waliojijengea. JF kuna couple nyingi saana mpaka zingine hazielewiki kama ni za kweli au mwisho wake humu tu. Hayo sisi hayatuhusu maana tunaishi maisha ya tunachokiona bhana.
Kwangu hizi ni top 5 best couple za hapa JF. Je za kwako ni zipi zitaje na taja sababu za kuwa best than others.
1. mshanajr na angel Nylon( jamaa sijui analoga)
2. Nyani Ngabu na Kasinde
3. sumbai na cute b(ilipotea kwa muda)
4. Kaboom na atoto(Rogie anaiwangia)
5. STUNTER na jje's(hii bado changa ila ipo hot)
NB: hii ni chitchat
Yani mimi sijipendi mpaka nikae karibu na Daby ??hahahahahah kwa
ajili ya kupata kadi tu ndo unasema hivyo ama? hata kwenye menu baada ya sisi utakuwa wewe, ndo washenga. Nitaongea na bby akubaliane na hili. STUNTER kuna pingamizi lolote hapo?
sawasawaNaenda kwa jerrysonkiria kumpa maujanjaa naona analalamika saana