The top five best couple in JF(MMU)

Ukiona manyoya???? Braza njoo uchukue jero ukanunue panadol upunguze maumivu hahaah
jje's ebu nisaidie kumtuliza bae wako. Nahisi anataka kurudia ya nyuma. kukumix na binamu [emoji53][emoji53]
 
haaa namshangaa na nataka kuogopa sasa, wasije kunambia kuna kikao cha familia mkoa wa jiran looooh
Chungulia defence mechanism naona ni kubwa! !ila tunasecurity kubwa.
 
haaa namshangaa na nataka kuogopa sasa, wasije kunambia kuna kikao cha familia mkoa wa jiran looooh
Sister hivi mzee hajarudi fron US???? Nimwite hapa
 
nipo dear wangu majukumu unajua, nilikuwa namwandalia stunter vitu maana ana mpango wa kusafiri.

STUNTER bby, usiwaambie unaenda wapi nisije porwa bureee
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…