The top five best couple in JF(MMU)

The top five best couple in JF(MMU)

haaaah kwani wewe iko Arusha kama mimi? sitaki kumfanya my STUNTER alie asubuh asubuh bhana.

na hivyo kesho anasafiri nje ya nchi atahis nachukua advantage.

Akhu mie sitaki kabisa
Wifi mambo??...... na wewe upo Arusha?
 
yaani nashangaa watu wanavyoteseka, mimi na my blood brother sumbai ni damu damu. Na my wiii cute b twapendana.

Ni mara ya kwanza mawifi kuelewana hadi naona raha.

cute b njoo hapa uwatoe wasiwasi.
Wewe waache wagale gale na mawivu. Sie mahabat mbele kwa mbele
 
haaaah kwani wewe iko Arusha kama mimi? sitaki kumfanya my STUNTER alie asubuh asubuh bhana.

na hivyo kesho anasafiri nje ya nchi atahis nachukua advantage.

Akhu mie sitaki kabisa
Nimetua arusha kukuwinda wewe tu
 
nisalimie kaka maana nowdays amekuwa busy sana cjui ni wewe unambana? ila sio kwamba ni wivu bali nauliza tu.
Teh teh.. kaka yako yupo anatafuta helaa. Anafanya kazi ngumu balaa. Akienda kazin anaacha simu akirudi ni kuoga kula na kutulizana. Nitamsalimiaaa
 
Teh teh.. kaka yako yupo anatafuta helaa. Anafanya kazi ngumu balaa. Akienda kazin anaacha simu akirudi ni kuoga kula na kutulizana. Nitamsalimiaaa
mhhhhh my wii unanidanganya jaman, yaani awe busy hadi aache simu home? pulize mshauri awe anaenda nayo ati, sheeeee (in masai tone)

sumbai acha hizo bhana.
 
haaaah kwani wewe iko Arusha kama mimi? sitaki kumfanya my STUNTER alie asubuh asubuh bhana.

na hivyo kesho anasafiri nje ya nchi atahis nachukua advantage.

Akhu mie sitaki kabisa
Kumbe hata hamfahamiani nyie
Totoz za arachuga
Nimewaalika via via jioni
Lakini msije na kundi la mashoga zenu ni nyie wawili tu
Vinginevyo mjiandae kulipa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wifi mambo??...... na wewe upo Arusha?
 
Kumbe hata hamfahamiani nyie
Totoz za arachuga
Nimewaalika via via jioni
Lakini msije na kundi la mashoga zenu ni nyie wawili tu
Vinginevyo mjiandae kulipa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hahahahahah naona unatuchabo, vibaya hivyo ujue
 
Back
Top Bottom