APEFACE
JF-Expert Member
- Oct 1, 2016
- 5,316
- 9,596
la kuni nadhani ndo bei nafuu mkuu....we unatumia la aina gani.....Inategemea.
Unataka lipi? Mchina kuni au mkaa! !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
la kuni nadhani ndo bei nafuu mkuu....we unatumia la aina gani.....Inategemea.
Unataka lipi? Mchina kuni au mkaa! !
Hadi sasa haujabahatisha tukuongezee kwenye list? ?
Yupi maana wapo wawili! !
Unajitahidi kuchungulia [emoji23][emoji23]
Teh teh..Sawa mkuuKajilete kenyewe mkuu..kuonesha msistizo wa kukolea zaidi
Mimi makada ntawawezea wapi mkuu..yule mdada kada wa ccm.
Vip nikurushie fursa. ?
Heaven Sent hivi hii crisis huwa inachukua muda gani?Mkuu kuna katoto nakanyemelea..Mambo yakiwa super ntakuletea ukaongeze kwenye list