Patience123
JF-Expert Member
- Mar 10, 2013
- 5,092
- 8,784
Hii sred bado mnayo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]I love u
Naona anahitaji niende kumfanyia usafi wa kinywa mabwepande.. Nishamuweka kwenye "watch list"...Unamfahamu huyu mtu The bold
Naona anahitaji niende kumfanyia usafi wa kinywa mabwepande.. Nishamuweka kwenye "watch list"...
Thanks..Me too[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Thanks..Me too
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji40][emoji40]tusife moyo najuwa wangu yupo njiani[emoji40]Hello, MMU. Nadhani mpo Ok, zaidi poleni na shughuli za j3.
JF bhna[emoji23][emoji23], toka juzi watu wanashindana kutajana kwenye ziileee nyuzi. Ambao hawakutajwa walilalamika na kugomba vya kutosha. Ila Usife moyo watoto wazuri na wanaume bado wanazaliwa ipo siku (tutatajwa[emoji38][emoji38].)
(Kwa leo), wote tunajua kila sehemu ina best kapo. siyo shuleni..chuoni..kazini au hata mitaani..utaskia tu watu wanaiponti couple fulani na kuimiminia sifa. Hii ni kutokana na upendo,ukaribu na urafiki wenza waliojijengea. JF kuna couple nyingi saana mpaka zingine hazielewiki kama ni za kweli au mwisho wake humu tu. Hayo sisi hayatuhusu maana tunaishi maisha ya tunachokiona bhana.
Kwangu hizi ni top 5 best couple za hapa JF. Je za kwako ni zipi zitaje na taja sababu za kuwa best than others.
1. mshanajr na angel Nylon( jamaa sijui analoga)
2. Nyani Ngabu na Kasinde
3. sumbai na cute b(ilipotea kwa muda)
4. Kaboom na atoto(Rogie anaiwangia)
5. STUNTER na jje's(hii bado changa ila ipo hot)
NB: hii ni chitchat
Yaani inachoma kama pasi!but axnte mpendwa tuombeane (In [emoji357]s voice)[emoji4] [emoji4] [emoji4]Poleni jamani
[HASHTAG]#Teamfursa[/HASHTAG]
Nimeshafika tayar usijar[emoji2][emoji2][emoji2][emoji40][emoji40]tusife moyo najuwa wangu yupo njiani[emoji40]