LadyAJ
JF-Expert Member
- Oct 21, 2015
- 7,173
- 9,642
Bali yule aliye mpumbavu huishusha kwa madaha hahahahaaHuhu...mwanamke mjanja ataipaisha ndoa yake kwa mbwembwe...haya na edit.
Wivu hatutaki jamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bali yule aliye mpumbavu huishusha kwa madaha hahahahaaHuhu...mwanamke mjanja ataipaisha ndoa yake kwa mbwembwe...haya na edit.
Wivu hatutaki jamani
Utamu wa zawadi itolewe kwa ku-surprise.Kwakweli kwa zawadi kama ile sitaki, inipite tu pembeni.
Kwa zawadi ya vile hapana kwakweli, sio mahitaji yangu hayo.Utamu wa zawadi itolewe kwa ku-surprise.
Kingine ilenge mahitaji ya mpokeaji.
Iwe nzuri na ya kumvutia mpokeaji.
...........Kwa vigezo hivyo, utaanzaje kukataa zawadi?
Ukipewa kitu bila kuagiza hiyo ni zawadi,Kwa zawadi ya vike hapana kwakweli, sio mahitaji yangu hayo.
Hahaaaa!! Basi hiyo suprise siitaki.Ukipewa kitu bila kuagiza hiyo ni zawadi,
Ukipewa kitu ulicho agiza hayo ni mahitaji.
Huitaki kwa kuwa nimekuchagulia mimi? au kwa kuwa huijui zawadi yenyewe?Hahaaaa!! Basi hiyo suprise siitaki.
Kama ni serious hongereni sana mae. Mungu awasaidie mfikie lengo
Wewe mamsapu wako nani humu?Ulimwonea wivu eeh?🙂🙂
Wpi jmn ckuoni [emoji18] [emoji18] [emoji18]!!!Candyscorpion niko hapa...nakusubir chini ya mwembe tuyajenge
pepo okoteza linishindwee khaaUsije ukawa mtoa ahadi tu bila utekelezaji, maana dota wangu Heaven Sent kwa kuokoteza tu hajambo.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ameeeeen!!pepo okoteza linishindwee khaa
Aiseeee my wii umenikumbusha mbali mambo ya mamsapu[emoji12] [emoji13]Wewe mamsapu wako nani humu?
Dah! kwahiyo ndo umepata kigezo cha kunitimua?Wewe mamsapu wako nani humu?
=mngetoa.Dah! kwahiyo ndo umepata kigezo cha kunitimua?
Si mgetoa taarifa mapema kwamba kuingia kwenye huu uzi lazima uwe na card ya double?
Hata tripple inaruhusiwa, weka tu list yako.Dah! kwahiyo ndo umepata kigezo cha kunitimua?
Si mgetoa taarifa mapema kwamba kuingia kwenye huu uzi lazima uwe na card ya double?
Love you CWpi jmn ckuoni [emoji18] [emoji18] [emoji18]!!!
Nimependa hizo lipsHata tripple inaruhusiwa, weka tu list yako.
Njoo nikukiss.Nimependa hizo lips
Unakiss sehem ipi sasa niambie nijiandaeNjoo nikukiss.