Bonny
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 13,370
- 29,968
Kwendraaaa
Ha ha ha ha haend mtu njoo tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwendraaaa
Ha haa afu limenijia tu galfa my wiiAiseeee my wii umenikumbusha mbali mambo ya mamsapu[emoji12] [emoji13]
sitakiHa ha ha ha haend mtu njoo tu
Ha haa usinambie tu huna mchuchu humuDah! kwahiyo ndo umepata kigezo cha kunitimua?
Si mgetoa taarifa mapema kwamba kuingia kwenye huu uzi lazima uwe na card ya double?
Naona dalili si nzuriSitakuangusha jirani
si naona hunipi kipaumbeleDuuh..Ushabadili gia angani..
mm huyu huyu [emoji23]
hahahhh mwehu wwLabda kama mm ni new member humu
Naachaje sasa..Halafu inabidi nishare na mshana anipe tafsiri ya hii ndotoSio umeniota na mimi?
Jirani hapa kwako..Muda wowote unaweza kukaribiaNaona dalili si nzuri
Wasiwasi wako ndo maradhi yakosi naona hunipi kipaumbele
Eti umesema!!!!Nimekuachia kiroho safi kijana..Ila ntakua napasha moto Mara moja moja
Wacha we!! Hii kasi yako mbona kama inanivuruga hivi!!Siwezi kupata crisis unless we utoweke duniani..
Hiyo ndoto inamaanisha usipoacha michepuko basi soon viungo vyako vya uzazi vitakoma kufanya kazi.Naachaje sasa..Halafu inabidi nishare na mshana anipe tafsiri ya hii ndoto
Sasa mnanipa kazi ya kuchagua. Wew au Daby.Wasiwasi wako ndo maradhi yako
Kuna issue ume-suspect?Ha haa usinambie tu huna mchuchu humu
Teh teh...Eti Hii kauli inatoka kwa muasisi Wa michepuko jf...NgachokaHiyo ndoto inamaanisha usipoacha michepuko basi soon viungo vyako vya uzazi vitakoma kufanya kazi.
Duuh..Mkuu unataka kutuweka kwenye mizani tena..Basi mi ngoja nijiweke pembeni...Mama alinifundisha nisigombanie penzi lol!!Sasa mnanipa kazi ya kuchagua. Wew au Daby.