The top five best couple in JF(MMU)

The top five best couple in JF(MMU)

Hivi hawakutaji kwenye orodha tu..!
Huyu wa chini naye akipeperuka tutakula sahani moja
Akuuuu!! Orodha hainihusu kabisa.
Ninakuja na rungu napulizia kila mahali.
 
Na ile zawadi nikiinyaka naitia moto. CHARMILTON sio mtu mzuri kabisa, hii kampeni sijui inamfaidisha nini!!
Tatizo mnaomba poo katikati ya mchezo inabidi..tucheze nusu saa ya kwanza kabla hatujaja kwenu
Niingie mara ngapi, tangu niingie ni 10years ago.
Sasa ataweza kweli kucompete na nzi,uzi na ile zawadi?
 
Back
Top Bottom