Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NimeonaUmeonaa! !
Hako kadem kipindi kanajiunga kalinifurahisha kweliHaya....
Nilipenda tu walivyomkaribisha hadi picha akatoaHahaha mdogo wangu huyo
Muulize atakuambia namba alitoa wajanja tukachukua[emoji23][emoji23] sikwepo...
Kweli kabisa kama sio plate number ya treni basiAliwapa za fuso na nyie mkachukua tu
[emoji29][emoji29]nilikufurahisha nn?Hako kadem kipindi kanajiunga kalinifurahisha kweli
[emoji29][emoji29]Nilipenda tu walivyomkaribisha hadi picha akatoa
[emoji34][emoji34][emoji34]acha uongo mkuuMuulize atakuambia namba alitoa wajanja tukachukua
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Kweli kabisa kama sio plate number ya treni basi
Leo unabisha au sababu ushakua mzoefu, hv hukutoa picha ww[emoji34][emoji34][emoji34]acha uongo mkuu
[emoji2][emoji2]sasa picha ndo namba?!Leo unabisha au sababu ushakua mzoefu, hv hukutoa picha ww
Hata namba ulitoa au umesahau[emoji2][emoji2]sasa picha ndo namba?!
Daby &....Hello, MMU. Nadhani mpo Ok, zaidi poleni na shughuli za j3.
JF bhna[emoji23][emoji23], toka juzi watu wanashindana kutajana kwenye ziileee nyuzi. Ambao hawakutajwa walilalamika na kugomba vya kutosha. Ila Usife moyo watoto wazuri na wanaume bado wanazaliwa ipo siku (tutatajwa[emoji38][emoji38].)
(Kwa leo), wote tunajua kila sehemu ina best kapo. siyo shuleni..chuoni..kazini au hata mitaani..utaskia tu watu wanaiponti couple fulani na kuimiminia sifa. Hii ni kutokana na upendo,ukaribu na urafiki wenza waliojijengea. JF kuna couple nyingi saana mpaka zingine hazielewiki kama ni za kweli au mwisho wake humu tu. Hayo sisi hayatuhusu maana tunaishi maisha ya tunachokiona bhana.
Kwangu hizi ni top 5 best couple za hapa JF. Je za kwako ni zipi zitaje na taja sababu za kuwa best than others.
1. mshanajr na angel Nylon( jamaa sijui analoga)
2. Nyani Ngabu na Kasinde
3. sumbai na cute b(ilipotea kwa muda)
4. Bailly5 na Madame S (imeletwa na tetemeko la makonda)
5. STUNTER na jje's(hii bado changa ila ipo hot)
NB: hii ni chitchat
[emoji15]Weweee wera wera nimechukua no moko penda sana yeye....The all time couple! Since 2012 bado niko naye.....nitadumu nayee kwa nguvu za molaa...View attachment 394087penda sana Angel Nylon...nothing...! I mean nothing will ever come across us...TILL THE END OF TIME[emoji7] [emoji8]