Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1. mshanajr na angel Nylon( jamaa sijui analoga) Mshana Jr na Angel Nylon JF the best couple ever[emoji173] [emoji1548][emoji173][emoji8] Tunastahili pongezi kwakweli na JF recognition[emoji7]Hello, MMU. Nadhani mpo Ok, zaidi poleni na shughuli za j3.
JF bhna[emoji23][emoji23], toka juzi watu wanashindana kutajana kwenye ziileee nyuzi. Ambao hawakutajwa walilalamika na kugomba vya kutosha. Ila Usife moyo watoto wazuri na wanaume bado wanazaliwa ipo siku (tutatajwa[emoji38][emoji38].)
(Kwa leo), wote tunajua kila sehemu ina best kapo. siyo shuleni..chuoni..kazini au hata mitaani..utaskia tu watu wanaiponti couple fulani na kuimiminia sifa. Hii ni kutokana na upendo,ukaribu na urafiki wenza waliojijengea. JF kuna couple nyingi saana mpaka zingine hazielewiki kama ni za kweli au mwisho wake humu tu. Hayo sisi hayatuhusu maana tunaishi maisha ya tunachokiona bhana.
Kwangu hizi ni top 5 best couple za hapa JF. Je za kwako ni zipi zitaje na taja sababu za kuwa best than others.
1. mshanajr na angel Nylon( jamaa sijui analoga)
2. sumbai na cute b(ilipotea kwa muda)
3. Bailly5 na Madame S (imeletwa na tetemeko la makonda)
4. STUNTER na jje's(hii bado changa ila ipo hot)
5. Daby na husna muba
NB: hii ni chitchat
Naaam nakukumbuka mshenga wangu.1. mshanajr na angel Nylon( jamaa sijui analoga) Mshana Jr na Angel Nylon JF the best couple ever[emoji173] [emoji1548][emoji173][emoji8] Tunastahili pongezi kwakweli na JF recognition[emoji7]
sumbai mkwe kumbe na wewe ulikuaga wa moto enzi zako😂🤸Kwangu hizi ni top 5 best couple za hapa JF. Je za kwako ni zipi zitaje na taja sababu za kuwa best than others.
1. mshanajr na angel Nylon( jamaa sijui analoga)
2. sumbai na cute b(ilipotea kwa muda)
3. Bailly5 na Madame S (imeletwa na tetemeko la makonda)
4. STUNTER na jje's(hii bado changa ila ipo hot)
5. Daby na husna muba
NB: hii ni chitchat
Hongera sana! Kweli wahuni nao wanazeeka🤸Acha tuu, yaan mkwe maisha yanaenda Kasi saaana.
Mambo yalikuwa motooooo...
Nyinyi sikuhizi watoto mnapuyanga tuu
Tanangozi, Iringa HUKOKipindi hichi, nilikuwa wapi?
Watabisha😂
Watakua wenyewe hata wakibisha haifutikiWatabisha😂
Habari ndo hiyo🤸Watakua wenyewe hata wakibisha haifutiki
Sahihi kabisa.Tanangozi, Iringa HUKO
Ha Habari ndio hiyo 😂Habari ndo hiyo🤸