Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Mond hakua mjinga kukwepa kumgonga yule Nung'ayembe,halaf hanaga time ya kujibizana nae.mwanamke huyo hana akili angekaa tu kimya,haoni aibu kututangazia ameliwa
Simba managers wake wana akili sana.Mond hakua mjinga kukwepa kumgonga yule Nung'ayembe,halaf hanaga time ya kujibizana nae.
Sisi watu wakimya matatizo yetu na udhaifu wetu tunajijua mkuu,mimi nilikua nawashangaa wale waliokua wakimtetea Sana sijui mara hapendi Kiki,anajiheshimu,mstaarabu,hana majivuno 😂😂😂,ni hivyo tu watu wakimya huwa tunafanya Mambo kwa Siri lakini kiuhalisia tuna list ndefu sana za mademu wabaya na wazuriNinyi mmeanza kumuona mswahili leo, mie tangu alivyopost yale maswala ya penseli sijui nini nilishaona kumbe naye wale wale tu.
Isitoshe Kiba na Diamond wote wahuni sana tu, sema ni vile Kiba kaamua kuyafanya yake sirini ndiyo maana anaonekana mstaarabu.
Tulizoea haya mambo kutoka kwa Diamond kurushiana vijembe na mahasimu wake na kumuona mswahili...kumbe ndo vile tena waswahili ni wengiView attachment 1420106