The True color of Ali Kiba

The True color of Ali Kiba

Simba managers wake wana akili sana.
Hajawahi kumjibu Alikiba kwa chochote ana hustle kivyake akitaka Kiki anazipata automatically kwa wanawake zake that's how big and grown up musicians do.
.
Refer beef la Drake na Chris Breezy Breezy alikuwa ana bwata sana kisa anafahamu anauwezo mkubwa kimuziki kumzidi Drake, anaweza mkono kumzidi Drake lakini cha ajabu Drake alitulia automatically kiki ikamfata kwa lile dem lake licheza porn films and now billboard hot 100 anaitawala yeye tu Brown anaendelea kula weed
Sorry
Mcheza porn, demu wa Breezy au Dreezy ?
 
Kiba ana utulivu gani kazaa watoto ka utitiri na wanawake zaidi ya 10 hao wanao date na kiba ndo hawana akili I wonder Amina na urembo wake kuolewa na nungayembe Kiba sijui alirogwa. Mwanaume asiye na self control Hana akili kabisa. Hapa kiba ndo mpumbavu

Sent using Jamii Forums mobile app
Yule dada anajitambua Sana alafu pia elimu anayo nimeshangaa kawezaje kuolewa na Malaya Kama Alikiba
 
Kiba ana utulivu gani kazaa watoto ka utitiri na wanawake zaidi ya 10 hao wanao date na kiba ndo hawana akili I wonder Amina na urembo wake kuolewa na nungayembe Kiba sijui alirogwa. Mwanaume asiye na self control Hana akili kabisa. Hapa kiba ndo mpumbavu

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo Amina naye nasikia ni wale wale tu
 
Huuu uzi naona wengi ni Wanawake, sio kwa masimango hayo kwa Kiba. Lkn Wanaume wote baba Mmoja mama Mmoja Divva naye mtamu jamani wakati mwingine tuwe wawazi tu sie wanaume tunajijua kwa Kupindua meza.
 
Back
Top Bottom