Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,113
- 17,645
SorrySimba managers wake wana akili sana.
Hajawahi kumjibu Alikiba kwa chochote ana hustle kivyake akitaka Kiki anazipata automatically kwa wanawake zake that's how big and grown up musicians do.
.
Refer beef la Drake na Chris Breezy Breezy alikuwa ana bwata sana kisa anafahamu anauwezo mkubwa kimuziki kumzidi Drake, anaweza mkono kumzidi Drake lakini cha ajabu Drake alitulia automatically kiki ikamfata kwa lile dem lake licheza porn films and now billboard hot 100 anaitawala yeye tu Brown anaendelea kula weed
Ni huyu aliyezaa nae haka katoto kalikofanana na mama yake Drake ?This is what i said
Demu wake Drake anaitwa Sophia Brussaux ni former porn star
Hi ni yakutengeneza unapokuwa unachati kwenye group na mtu unayemjua uwezi kutaja jina
Kama mazugumzo ya kwenye bongo movieHi ni yakutengeneza unapokuwa unachati kwenye group na mtu unayemjua uwezi kutaja jina
Kama sio ya kutengeneza basi walijua watahitaji screen shots siku zijazo so walikua wakijitengenezea ushahidi !!!
mwanamke huyo hana akili angekaa tu kimya,haoni aibu kututangazia ameliwa
😀😀😀Asa Kiba ndani ya miaka 5 Mara moja...yule bwana ndani ya wiki Mara 100 bado Kiba is Kiba tu mzee
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii chai
Hiyo kauli huwa inanikera hatariWapo wasiofanya, na malaya ni malaya tu haijalishi unafanya hadharani ama sirini.
Ali kiba kama Ronaldinyo ..kipaji kikubwa..poor self control
Yule dada anajitambua Sana alafu pia elimu anayo nimeshangaa kawezaje kuolewa na Malaya Kama AlikibaKiba ana utulivu gani kazaa watoto ka utitiri na wanawake zaidi ya 10 hao wanao date na kiba ndo hawana akili I wonder Amina na urembo wake kuolewa na nungayembe Kiba sijui alirogwa. Mwanaume asiye na self control Hana akili kabisa. Hapa kiba ndo mpumbavu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ya umalaya [emoji85]Hiyo kauli huwa inanikera hatari
Kwa upande wako unaweza kudate na porn star?Ni huyu aliyezaa nae haka katoto kalikofanana na mama yake Drake ?
Haswaa, malaya anaashum kila mtu malayaHiyo ya umalaya [emoji85]
Huyo Amina naye nasikia ni wale wale tuKiba ana utulivu gani kazaa watoto ka utitiri na wanawake zaidi ya 10 hao wanao date na kiba ndo hawana akili I wonder Amina na urembo wake kuolewa na nungayembe Kiba sijui alirogwa. Mwanaume asiye na self control Hana akili kabisa. Hapa kiba ndo mpumbavu
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani hata mie nimemshangaa eti "hakuna asiyefanya", kwa kweli hata kama ndiyo dunia imeharibika ila siyo kiasi hicho aise.Haswaa, malaya anaashum kila mtu malaya
Hakuna afadhaliUmeona eenh, ndiyo maana watu wengi husema ogopa sana watu wakimya.
Tena afadhali hata ya Diamond anayafanya hadharani, mtu kama Kiba muogope sana.