Kweli kabisa Kikwete is the real deal when it comes to diplomacy. Kuna vitu ambavyo huwezi vilazimisha, vinakuja naturally. Mwenzake upande wa pili ni Kalonzo Musyoka, kisiasa yupo ovyo ila kidiplomasia huwa anafanya mambo makubwa.
Kibaki sio mkora. Pumbafu wewe. Huyo ndio the best president Kenya has ever had. Halafu ni mzee sana ako in his 80s. Wacha apumzike amefanya kazi nzuri kwa miaka kumi.Hivi wale Marais wakora wastaafu wa Kenya huenda wapi?
I always hear Mkapa and Kikwete kwenye Majukwaa ya Kimataifa,
What about Nyayo? ama Kibaki?
Hapo wapinzani wakianza kumsifu kikwete..watu wa jiwe watamtukana..
Hawa Watanzania kwa maoni yangu bado wako na tabia primitive kwa kupraise mtu mmoja kama Mungu. Yaani Jiwe anapewa sifa kama Mungu. Kenya hakuna upuzi kama huo. Pengine wakati wa Moi lakini hio iliisha. Hata Uhuru hapewi sifa kiasi hicho.Umesababisha nimecheka sana....Hii kwa kweli inaweza kusababisha mkwaruzano maana kwa sasa sifa zinafaa zibaki sehemu moja. Ama unaona aje maana wewe ndio unawafahamu vyema.
Hawa Watanzania kwa maoni yangu bado wako na tabia primitive kwa kupraise mtu mmoja kama Mungu. Yaani Jiwe anapewa sifa kama Mungu. Kenya hakuna upuzi kama huo. Pengine wakati wa Moi lakini hio iliisha. Hata Uhuru hapewi sifa kiasi hicho.
Umesababisha nimecheka sana....Hii kwa kweli inaweza kusababisha mkwaruzano maana kwa sasa sifa zinafaa zibaki sehemu moja.
Mbona Mwinyi, Mkapa wala Kikwete hawakupewa sifa hizo?. Kitu unashindwa kukubali ni kwamba, Magufuli anasifiwa karibu Africa nzima, ninahisi wakenya wengi wanamsifu Magufuli zaidi ya watanzania, kama ilivyo kwa Diamond.Hawa Watanzania kwa maoni yangu bado wako na tabia primitive kwa kupraise mtu mmoja kama Mungu. Yaani Jiwe anapewa sifa kama Mungu. Kenya hakuna upuzi kama huo. Pengine wakati wa Moi lakini hio iliisha. Hata Uhuru hapewi sifa kiasi hicho.
Mkapa ana 80s na bado anatumika KidiplomasiaKibaki sio mkora. Pumbafu wewe. Huyo ndio the best president Kenya has ever had. Halafu ni mzee sana ako in his 80s. Wacha apumzike amefanya kazi nzuri kwa miaka kumi.
Moi alikuwa dikteta kama Jiwe. Kawaida ya madikteta ni kwamba huwa wanazamia kusikojulikana wakishaondolewa madarakani. Mwai Kibaki alikuwa rais wa kuigwa ila umri wake na afya pia zimemfanya awe mtulivu. Tegemea kuona mengi kutoka kwa rais U.K muhula wake wa pili ukiisha.Hivi wale Marais wakora wastaafu wa Kenya huenda wapi?
I always hear Mkapa and Kikwete kwenye Majukwaa ya Kimataifa,
What about Nyayo? ama Kibaki?
Hawa Watanzania kwa maoni yangu bado wako na tabia primitive kwa kupraise mtu mmoja kama Mungu. Yaani Jiwe anapewa sifa kama Mungu. Kenya hakuna upuzi kama huo. Pengine wakati wa Moi lakini hio iliisha. Hata Uhuru hapewi sifa kiasi hicho.
Kweli kabisa Kikwete is the real deal when it comes to diplomacy. Kuna vitu ambavyo huwezi vilazimisha, vinakuja naturally. Mwenzake upande wa pili ni Kalonzo Musyoka, kisiasa yupo ovyo ila kidiplomasia huwa anafanya mambo makubwa.
Kibaki sio mkora. Pumbafu wewe. Huyo ndio the best president Kenya has ever had. Halafu ni mzee sana ako in his 80s. Wacha apumzike amefanya kazi nzuri kwa miaka kumi.
Hawa Watanzania kwa maoni yangu bado wako na tabia primitive kwa kupraise mtu mmoja kama Mungu. Yaani Jiwe anapewa sifa kama Mungu. Kenya hakuna upuzi kama huo. Pengine wakati wa Moi lakini hio iliisha. Hata Uhuru hapewi sifa kiasi hicho.
Moi alikuwa dikteta kama Jiwe. Kawaida ya madikteta ni kwamba huwa wanazamia kusikojulikana wakishaondolewa madarakani. Mwai Kibaki alikuwa rais wa kuigwa ila umri wake na afya pia zimemfanya awe mtulivu. Tegemea kuona mengi kutoka kwa rais U.K muhula wake wa pili ukiisha.

Ukweli hata Mimi napenda siasa za mkamba huyo Kalonzo musyoka ametulia kibusaraKweli kabisa Kikwete is the real deal when it comes to diplomacy. Kuna vitu ambavyo huwezi vilazimisha, vinakuja naturally. Mwenzake upande wa pili ni Kalonzo Musyoka, kisiasa yupo ovyo ila kidiplomasia huwa anafanya mambo makubwa.