The Trusted is Always Trusted: Tanzania's Kikwete to Lead the Xenophobia Probe Team

Please it's high time to fix the dignity of the prodigal son.
 
Kweli kabisa Kikwete is the real deal when it comes to diplomacy. Kuna vitu ambavyo huwezi vilazimisha, vinakuja naturally. Mwenzake upande wa pili ni Kalonzo Musyoka, kisiasa yupo ovyo ila kidiplomasia huwa anafanya mambo makubwa.
 
Hivi wale Marais wakora wastaafu wa Kenya huenda wapi?
I always hear Mkapa and Kikwete kwenye Majukwaa ya Kimataifa,
What about Nyayo? ama Kibaki?
Kibaki sio mkora. Pumbafu wewe. Huyo ndio the best president Kenya has ever had. Halafu ni mzee sana ako in his 80s. Wacha apumzike amefanya kazi nzuri kwa miaka kumi.
 
Umesababisha nimecheka sana....Hii kwa kweli inaweza kusababisha mkwaruzano maana kwa sasa sifa zinafaa zibaki sehemu moja. Ama unaona aje maana wewe ndio unawafahamu vyema.
Hawa Watanzania kwa maoni yangu bado wako na tabia primitive kwa kupraise mtu mmoja kama Mungu. Yaani Jiwe anapewa sifa kama Mungu. Kenya hakuna upuzi kama huo. Pengine wakati wa Moi lakini hio iliisha. Hata Uhuru hapewi sifa kiasi hicho.
 
Angalau wewe huwa msemakweli, wenzako wote wanamuabudu Uhuru. Kila kitu akifanya Uhuru kwao ni sawa sababu ni Msapere mwenzao.
 
Hawa jamaa wako hvo...wamponda hyo kikwete hadi ushangae...eti hapa wanajitia kumpenda...
Kw unafiki tu hawa jamaa...hawa wezekani
Umesababisha nimecheka sana....Hii kwa kweli inaweza kusababisha mkwaruzano maana kwa sasa sifa zinafaa zibaki sehemu moja.
 
Hawa Watanzania kwa maoni yangu bado wako na tabia primitive kwa kupraise mtu mmoja kama Mungu. Yaani Jiwe anapewa sifa kama Mungu. Kenya hakuna upuzi kama huo. Pengine wakati wa Moi lakini hio iliisha. Hata Uhuru hapewi sifa kiasi hicho.
Mbona Mwinyi, Mkapa wala Kikwete hawakupewa sifa hizo?. Kitu unashindwa kukubali ni kwamba, Magufuli anasifiwa karibu Africa nzima, ninahisi wakenya wengi wanamsifu Magufuli zaidi ya watanzania, kama ilivyo kwa Diamond.
 
Hivi wale Marais wakora wastaafu wa Kenya huenda wapi?
I always hear Mkapa and Kikwete kwenye Majukwaa ya Kimataifa,
What about Nyayo? ama Kibaki?
Moi alikuwa dikteta kama Jiwe. Kawaida ya madikteta ni kwamba huwa wanazamia kusikojulikana wakishaondolewa madarakani. Mwai Kibaki alikuwa rais wa kuigwa ila umri wake na afya pia zimemfanya awe mtulivu. Tegemea kuona mengi kutoka kwa rais U.K muhula wake wa pili ukiisha.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe nyoko sana
Kweli kabisa Kikwete is the real deal when it comes to diplomacy. Kuna vitu ambavyo huwezi vilazimisha, vinakuja naturally. Mwenzake upande wa pili ni Kalonzo Musyoka, kisiasa yupo ovyo ila kidiplomasia huwa anafanya mambo makubwa.
 
[emoji23]umepanic sana, babako eee
Kibaki sio mkora. Pumbafu wewe. Huyo ndio the best president Kenya has ever had. Halafu ni mzee sana ako in his 80s. Wacha apumzike amefanya kazi nzuri kwa miaka kumi.
 
Sikiliza wewe kima, wanaomsifu jiwe ni wale njaa kali wanaotafuta ugali kwa kujikomba kwa jiwe, wanajua vyema Jiwe apenda sifa
Hawa Watanzania kwa maoni yangu bado wako na tabia primitive kwa kupraise mtu mmoja kama Mungu. Yaani Jiwe anapewa sifa kama Mungu. Kenya hakuna upuzi kama huo. Pengine wakati wa Moi lakini hio iliisha. Hata Uhuru hapewi sifa kiasi hicho.
 
Nampenda sana Uhuru, kwangu ni bonge la prezdaa kumzidi jiwe kwa maili nyingi
Moi alikuwa dikteta kama Jiwe. Kawaida ya madikteta ni kwamba huwa wanazamia kusikojulikana wakishaondolewa madarakani. Mwai Kibaki alikuwa rais wa kuigwa ila umri wake na afya pia zimemfanya awe mtulivu. Tegemea kuona mengi kutoka kwa rais U.K muhula wake wa pili ukiisha.
 
Moi alikuwa dikteta kama Jiwe. Kawaida ya madikteta ni kwamba huwa wanazamia kusikojulikana wakishaondolewa madarakani. Mwai Kibaki alikuwa rais wa kuigwa ila umri wake na afya pia zimemfanya awe mtulivu. Tegemea kuona mengi kutoka kwa rais U.K muhula wake wa pili ukiisha.

Kibaki aliiba kura na kisababisha vita 2007. Karibu arudishe nchi hadi stone age.

Kikwete na wenzake ndio walisaidia kukwepa janga.
 
Back
Top Bottom