The Trusted is Always Trusted: Tanzania's Kikwete to Lead the Xenophobia Probe Team

The Trusted is Always Trusted: Tanzania's Kikwete to Lead the Xenophobia Probe Team

Acha zako wewe, wakenya hawana interest na siasa za Tz kiasi cha kuunga mkono upande wowote, iwe chama tawala ama upinzani. Wakenya hawajui hata jina la makamu wa rais wa Tz, waziri mkuu wala kiongozi wa upinzani na vyama vyenu vya kisiasa. Stop playing the victim.
Ni wivu jo, ww bisha tu, unasema wakenya, as if u know all kenyans, and am nt talking abt siasa wala waziri mkuu, i'm talking about your unnecessary hate towards magu who isn't your president and doesnt affect you anyhow, but when you read your comments towards him, you get to see the hate and jealous open kabisa. Hapa usibishe msee, archives za comments zenu zipo mob tu. Hata mtt mdogo can decipher.
 
They always know where to get a fix of their odds.

But the IMF and the World Bank are NOT trustful of the economic statistics coming out of Tanzania though.
So stop kidding ,you're not always trusted buddy.
 
Uhuru huyu huyu aliyeongoza Mungiki kufanya mauwaji makubwa 2007?
Uhuru aliyeuwa mashahidi wote wa kesi yake The Hague?

Stupid Kikuyu boy.
Kama una ushahidi wa kudhibitika dhidi yake si upeleke kwa ICC waone yote?

Stupid Nyamwezi.
 
Speed ya JPM ndo inawashikisha ukuta [emoji23][emoji23][emoji23]
Ni wivu jo, ww bisha tu, unasema wakenya, as if u know all kenyans, and am nt talking abt siasa wala waziri mkuu, i'm talking about your unnecessary hate towards magu who isn't your president and doesnt affect you anyhow, but when you read your comments towards him, you get to see the hate and jealous open kabisa. Hapa usibishe msee, archives za comments zenu zipo mob tu. Hata mtt mdogo can decipher.
 
Acha zako wewe, wakenya hawana interest na siasa za Tz kiasi cha kuunga mkono upande wowote, iwe chama tawala ama upinzani. Wakenya hawajui hata jina la makamu wa rais wa Tz, waziri mkuu wala kiongozi wa upinzani na vyama vyenu vya kisiasa. Stop playing the victim.
Kila kitu JPM anachofanya lazima media zenu ziripoti lakini Tanzania haziripotiwi habari za Rais wenu kabisa
 
Hawa Watanzania kwa maoni yangu bado wako na tabia primitive kwa kupraise mtu mmoja kama Mungu. Yaani Jiwe anapewa sifa kama Mungu. Kenya hakuna upuzi kama huo. Pengine wakati wa Moi lakini hio iliisha. Hata Uhuru hapewi sifa kiasi hicho.
Huyo ambaye haoati sifa ni Kwa sababu hastahili hizo sifa! Huyu wa kwetu hasifiwi kama Mungu kama unavyodai, lakini Kwa kazi kubwa aliyoifanyia Tanzania Kwa muda mfupi anastahili sifa japo si kama anazostshili Mungu!!! Watu wanatuonea wivu kimya kimya!!!
 
Kibaki kosa lake lilikuwa ni kuiba kura tu lakini hakuhusika kwa kupanga mauwaji. Waliopanga mauwaji ni wengine na wanajulikana duniani kote. Kibaki hana uhusiano na hayo mauwaji. Dosari moja katika uongozi wake ni kuiba kura pekee. Kuna tofauti kubwa kati ya kuiba kura na kupanga mauwaji. Lakini alitenda mengi mazuri kwenye sekta ya uchumi. Moi alifilisisha nchi. Aliiba pesa yote na kupea marafiki zake. Alikuwa dikteta mjinga ambaye hakujenga barabara wala reli wala lolote, kazi ilikuwa ni kuiba tu mali ya umma na kufunga jela wapinzani wake. Kibaki alitutoa kutoka 0% economic growth hadi 7% economic growth in 2007 (the highest ever for Kenya). Kibaki aidha Alijenga au alirehabilitate barabara kutoka Mombasa hadi Nairobi, Nairobi hadi Nakuru, Nakuru hadi Kisumu. Emali hadi Oloitoktok. Thika road ndio barabara pana zaidi East Afrika ni Kibaki ndiye aliijenga. Pia alianzisha planning for Isiolo hadi Moyale. Alianzisha planning for SGR kutoka Mombasa hadi Nairobi. Konza city pia alianzisha. Miradi ya Northern, Eastern and Southern bypass za Nairobi za kupunguza jam kwa kuzuia magari kuingia CBD na kuyazungusha nje ya Nairobi Kibaki ndiye aliplan na kuyaanzisha , hayo
na mambo mengi zaidi ikiwemo kupanua uhuru wa wanahabari, nikiendelea nitajaza server hapa. Uhuru pia yuko sawa kwa kujenga miundombinu kwani ni mwanauchumi kama kibaki na anaelewa umuhimu wa infrastructure katika uchumi na amejaribu kufuata nyayo ya Kibaki lakini Kibaki ndiye aliyepewa uchumi mbovu uliokuwa unakuwa kwa zero percent na baada ya miaka mitano kuukimbisha hadi 7%. Yule ni the real economist.

Mhusika mkuu wa mauwaji ni Rais wa sasa Uhuru Kenyatta. Hiyo hata Wakikuyu nyote mnajua.
 
Mhusika mkuu wa mauwaji ni Rais wa sasa Uhuru Kenyatta. Hiyo hata Wakikuyu nyote mnajua.
Kilam unaeza potezwa. Usifikiri kwa sababu uko Tanzania huwezi patwa na watu wasiojulikana. Afrika sio mahali pa kufungua kinywa ovyo ovyo.
 
But the IMF and the World Bank are NOT trustful of the economic statistics coming out of Tanzania though.
So stop kidding ,you're not always trusted buddy.

Aha haaa
Hao hatujawahi wakomboa. We have nothing to do with the Washington consensus.
 
Umesababisha nimecheka sana....Hii kwa kweli inaweza kusababisha mkwaruzano maana kwa sasa sifa zinafaa zibaki sehemu moja.
Wakenya mnafuatilia sana mambo ya tz ila sisi hatuna mpango na yaayoendelea kenya.
 
Kweli kabisa Kikwete is the real deal when it comes to diplomacy. Kuna vitu ambavyo huwezi vilazimisha, vinakuja naturally. Mwenzake upande wa pili ni Kalonzo Musyoka, kisiasa yupo ovyo ila kidiplomasia huwa anafanya mambo makubwa.
Hivi kalonzo yupo wapi
Akija Dar kuna sehem lazima afike anazungumza kiswahili fasaha kabisa
 
Back
Top Bottom