The truth about Diamond, Zari and Ivan’s relationship

hakuna kosa hata kwa mmoja bifu lazima tu na ni kawaida tu mbona .......kila mmoja aliplay part yake ivan aliachika kwa sababu zake na diamond akileta ujinga ataachwa tu hakuna kuvumilia upuuzi eti kisa tulianza wote au kisa nimezaa na wewe or eti kisa ni ndoa na kanisani or eti kisa ooh hell noo .. naamini zari aliplay part yake kwa miaka kumi akishindwa na sasa ni zamu ya chibu akileta ujinga zari mama sepa sepa haraka maisha mafupi usije ukafa ukaacha watoto wako hakuna mwanamke anaweza kukulelea wanao wanaume ni mbegu donor tu na kuwatumia ........... mnamtumia zari maneno mabaya as yeye alitakiwa avumilie shida mapaka kaburini binadamu ni wanafki sana ateseke mpaka afe maisha ya ivan kwa mwanamke yeyote mwenye akili ni kazi sana kuishi na mtu wa hivyo.... zari aliplay part yake na akaishindwa.. kwani ni mwanamke wa kwanza? humu kuna mama anti na dada zetu wameachwa na kuacha mpo nao nyumbani mpo kimya mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Kumbe zari alikuwa ananyanyasika?? Duh hatari.. anyway kukaa na tajiri nacho ni kipaji..
imagine una mke na watoto mwanaume yupo bar muda mwingi usiku labda harudi ? hujui lijitu limekufa au lipo hai pyeee zari mama maisha mafupi umemuelewa ivan
 
Yani natamani mondi apigwe chini ata leo. Na mastory ya chini ya carpet eti x wa dj wa maisha club ana ujauzito wa chibu.
Yan wanaume hawa
 
Yani natamani mondi apigwe chini ata leo. Na mastory ya chini ya carpet eti x wa dj wa maisha club ana ujauzito wa chibu.
Yan wanaume hawa
ndiyo hivyo na akimuacha chibu ooh zari malaya kwa hiyo avumilie tu upuuuzi nyambafu
 
Well zari is strong women ! When a woman fed up there's nothing u can do about it![emoji53],[emoji137][emoji137], mapenzi yananguvu kuliko breakdown,it's seems the guy was stil in love with zari mno mno!wanaume jamani ubabe hausaidiiiiiii ,kuna aina ya wanawake wamavumilia akamaliza anakuachia vumbi baya hata nyuma huoni[emoji58][emoji58]
 
Wanaume wanajua ukiwa na pesa huwezi ukakibiwa,unaachwa na pasa zako tumepate somo hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…