miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
hakuna kosa hata kwa mmoja bifu lazima tu na ni kawaida tu mbona .......kila mmoja aliplay part yake ivan aliachika kwa sababu zake na diamond akileta ujinga ataachwa tu hakuna kuvumilia upuuzi eti kisa tulianza wote au kisa nimezaa na wewe or eti kisa ni ndoa na kanisani or eti kisa ooh hell noo .. naamini zari aliplay part yake kwa miaka kumi akishindwa na sasa ni zamu ya chibu akileta ujinga zari mama sepa sepa haraka maisha mafupi usije ukafa ukaacha watoto wako hakuna mwanamke anaweza kukulelea wanao wanaume ni mbegu donor tu na kuwatumia ........... mnamtumia zari maneno mabaya as yeye alitakiwa avumilie shida mapaka kaburini binadamu ni wanafki sana ateseke mpaka afe maisha ya ivan kwa mwanamke yeyote mwenye akili ni kazi sana kuishi na mtu wa hivyo.... zari aliplay part yake na akaishindwa.. kwani ni mwanamke wa kwanza? humu kuna mama anti na dada zetu wameachwa na kuacha mpo nao nyumbani mpo kimya mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu