The truth about u women

The truth about u women

dawa ni kuwaandikia urisi tu, imeandikwa kwamba "kitanda hakizai haramu forever", (huu msemo aloutunga ana akili kweli, samtaimu inabidi tujipe ma hope bana)

Kuwaandikia watoto au mama Zao? (Hapo kwenye wingi ni msisitizo kila mtoto na mama yake, na unaweza kuta wote si wangu, LOL)
 
Mpwa usikimbie,na mwanajamiione nae yuko njiani anakuja.Kwani unaogopa nini mpwa,yanayosemwa si ni ukweli na hata kama na wanaume ndivyo wafanyavyo kosa halirekebishwi kwa kosa mpwa ingawa wengi wao uwa tunawatifuatifua sasa wanapotifuka ndo hayo,na wengine hawana haja ya kutifuliwa,walishatifuka tangu zama za mawe za kale.

Nimemkumbuka marehemu babu yangu. Alishawahi kuniambia mjomba ni damu yako kwa uhakika kuliko baba yako!!!
 
Kuwaandikia watoto au mama Zao? (Hapo kwenye wingi ni msisitizo kila mtoto na mama yake, na unaweza kuta wote si wangu, LOL)

hii dunia enithingi iz posibo, usije shangaa unagombana na njemba humu JF kwenye ma sredi kumbe ndio biological father wako heheheh
 
unajua hawa viumbe hawatabiriki...........ukimpa upendo mahususi, unaweza ambulia dharau kwa mashoga zake!!
sijasema mm, nimefikisha ujumbe kutoka kwa baba naniliu

huyo mwanamke wako anapatia wapi muda wa mashoga?.....
 
Nimemkumbuka marehemu babu yangu. Alishawahi kuniambia mjomba ni damu yako kwa uhakika kuliko baba yako!!!

Na ni kwa sababu hii,jamaa mmoja aliniambia siku mmoja kwamba kwa kuwa mama yako ni mtu wa kigoma basi waha wote wa jinsia ya kiume ni wajomba zako,mie mdomo wazi.Hivyo mpwa kama wewe ni muha sema kabisa nianze kukuita mjomba.
 
Huyo aliyekuambia hivyo ( kwenye bold) basi ujue alimtukana mama yako na hata wewe mwenyewe! Usingekubali kudhalilishwa kiasi hiki hadi uje hapa kuulizia waha hapa JF!
 
akikusoma vizuri atanielewa swali nililomuuliza kuhusu mjomba...
 
Hahahahaha! Hapo umenimaliza.

Ila yeye alinambia kwa kuwa mama yako na mjomba wako wamezaliwa tumbo moja (hata kama baba zao ni tofauti), na kwa kuwa mama aliyekuzaa ni uhakika kuwa ni mama yao, na kwa kuwa mama na mjomba wako wamepitia tumbo moja, na kwa kuwa mama yako anaweza kuwa alimcheat baba yako: Basi uhakika wa damu yako na mjomba wako ni 100% wakati baba yako inaweza kuwa 0% (Samahani kwa kizo KWAKUWA nyingi, niko mazoezini nataka kutangaza nia)
 
Kwani Wos mjomba wako ana uhusiano gani na mama yako,labda unifafanulie zaidi jinsi nilivyomdharirisha mama yangu ili nisiliendeleze hili,Kwa nia nzuri.
 
anajuaje kama pia kuna rafu ilichezeka?...
Nilijua tu hapa lazima uje

huyo mwanamke wako anapatia wapi muda wa mashoga?.....
Ohooo! Umeanza tayario

Kazi imeanza,kwani mpwa ulienda kum PM.Maana kasi alokuja nayo si mchezo.
Si nilikuambia mpwa? Haya sasa, kazi imeanza.

akikusoma vizuri atanielewa swali nililomuuliza kuhusu mjomba...
Na jibu langu ni hilo hapo chini. Sitaki maswali zaidi, vinginevyo ntaingia mitini....

Hahahahaha! Hapo umenimaliza.

Ila yeye alinambia kwa kuwa mama yako na mjomba wako wamezaliwa tumbo moja (hata kama baba zao ni tofauti), na kwa kuwa mama aliyekuzaa ni uhakika kuwa ni mama yao, na kwa kuwa mama na mjomba wako wamepitia tumbo moja, na kwa kuwa mama yako anaweza kuwa alimcheat baba yako: Basi uhakika wa damu yako na mjomba wako ni 100% wakati baba yako inaweza kuwa 0% (Samahani kwa kizo KWAKUWA nyingi, niko mazoezini nataka kutangaza nia)
 
Nimemkumbuka marehemu babu yangu. Alishawahi kuniambia mjomba ni damu yako kwa uhakika kuliko baba yako!!!
Mkuu siri ya mtungi anaijua kata, nakumbuka niliambiwa kitu kimoja siku moja mahali fulani kuwa, Mama anapenda wajukuu wake toka kwa Bintiye kuliko wa mtoto wake wa kiume!!!!!!!!!
 
Hahahahaha! Hapo umenimaliza.

Ila yeye alinambia kwa kuwa mama yako na mjomba wako wamezaliwa tumbo moja (hata kama baba zao ni tofauti), na kwa kuwa mama aliyekuzaa ni uhakika kuwa ni mama yao, na kwa kuwa mama na mjomba wako wamepitia tumbo moja, na kwa kuwa mama yako anaweza kuwa alimcheat baba yako: Basi uhakika wa damu yako na mjomba wako ni 100% wakati baba yako inaweza kuwa 0% (Samahani kwa kizo KWAKUWA nyingi, niko mazoezini nataka kutangaza nia)

Unajua kile kindude cha thanks mara kipotee mara kionekane,naona umekumbuka kila kitu bila hata ya kuchanganya madesa,hangover itakuwa imekwisha.
 
Mkuu siri ya mtungi anaijua kata, nakumbuka niliambiwa kitu kimoja siku moja mahali fulani kuwa, Mama anapenda wajukuu wake toka kwa Bintiye kuliko wa mtoto wake wa kiume!!!!!!!!!

Hili nalo neno,wanajua,nasema uwa wanajua nini kinachoweza kutokea.
 
Mkuu siri ya mtungi anaijua kata, nakumbuka niliambiwa kitu kimoja siku moja mahali fulani kuwa, Mama anapenda wajukuu wake toka kwa Bintiye kuliko wa mtoto wake wa kiume!!!!!!!!!

leo mtaongea yote......
 
Mkuu siri ya mtungi anaijua kata, nakumbuka niliambiwa kitu kimoja siku moja mahali fulani kuwa, Mama anapenda wajukuu wake toka kwa Bintiye kuliko wa mtoto wake wa kiume!!!!!!!!!

Si unaona? Ni kwakuwa anajua mtoto wa bintiye ni uhakika 100% kuwa ni mjukuu wake. Lakini mtoto wa mtoto wake wa kiume anaweza asiwe mjukuu wake kabisaaaaaaa! Hapo ndipo huwa sina imani na hawa wavaa magauni!
 
Unajua kile kindude cha thanks mara kipotee mara kionekane,naona umekumbuka kila kitu bila hata ya kuchanganya madesa,hangover itakuwa imekwisha.
Hahahaha! The opposite of it is the truth!!!
 
Kwani Wos mjomba wako ana uhusiano gani na mama yako,labda unifafanulie zaidi jinsi nilivyomdharirisha mama yangu ili nisiliendeleze hili,Kwa nia nzuri.

Iko namna hii:
umesema kwamba ana i quote.."Na ni kwa sababu hii,jamaa mmoja aliniambia siku mmoja kwamba kwa kuwa mama yako ni mtu wa kigoma basi waha wote wa jinsia ya kiume ni wajomba zako,mie mdomo wazi.Hivyo mpwa kama wewe ni muha sema kabisa nianze kukuita mjomba."

kama waha wote ni wajomba zako... ina maana bibi mzaa mama alihusiana na wanaume wangapi hadi wazaliwe wajomba-waha UPATE KUWA NA WAHA WOTE WAJOMBA?..Its mind boggling somehow..ila kwangu mimi naona ni kashfa kwa mama wa mama yako, na hii by extension kashfa kwa mama na kashfa kwako... i may be wrong..labda unieleweshe ndugu yangu.
 
For that extrapolation to the X-axis if not Y-axis nimekuelewa dada yangu,anyway thanks alot.
 
Back
Top Bottom