The truth for youths about Forex business

The truth for youths about Forex business

Shikilia apo apo never give up lazima upate mental pain so ukiweza kuihandle you make it trust me
Manda Kama niki kutana na mbongo mwenzangu ambaye ame make kupitia Forex Ila siyo hawa wanao jiita walimu wa Forex walio toboa kupitia hela za wanafunzi alafu wanasema forex is real na ina hela kumbe no hela za wanafunzi. Alafu hawa mentor wa kibongo wana charge hela nyingi mnooo alafu wanakuja kutamba hapa forex is real we download money here.
 
Ngoja nikuweke sawa kaka hizo statistics ulisema hapo juu zinahusu international foreign exchange Market ambapo inajumlisha Hedging foreign exchange market, arbitration na Speculation.

Tatzo watu wanaosema wengi kitaa wanatrade forex huwa wanafanya speculation ambayo hii n kamari Gambling na haipo regulated hapa Tanzania. HII NI KAMARI WAKUU n makisio ya future exchange rates without setting exchange rate with a third party.

lakini Hedging ipo regulated kabisa na n very common in multinational companies
ukishika Arbitration haina loss kabisa n always profit..

TATIZO UELEWE UTAPIGWA NA SPECULATION AD UNAKUFA WE UNAIITA TU FOREX [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tofauti kati ya hivyo vitu ume taja hapo juu mkuu ni nini, embu tufafanulie kidogo. Heading,attribution na speculation.
 
Manda Kama niki kutana na mbongo mwenzangu ambaye ame make kupitia Forex Ila siyo hawa wanao jiita walimu wa Forex walio toboa kupitia hela za wanafunzi alafu wanasema forex is real na ina hela kumbe no hela za wanafunzi. Alafu hawa mentor wa kibongo wana charge hela nyingi mnooo alafu wanakuja kutamba hapa forex is real we download money here.
Wapo wengi mzee adi wanaprotfolio za 5ml dollars ila wenye 100k ndo wengi sasa ukutane nae live si mchezo wengi hawanaga kelele , jifunze mbona sio ngumu ugumu upo kwako mwenyewe
 
Wapo wengi mzee adi wanaprotfolio za 5ml dollars ila wenye 100k ndo wengi sasa ukutane nae live si mchezo wengi hawanaga kelele , jifunze mbona sio ngumu ugumu upo kwako mwenyewe
Sawa hizo hela zote wanaweza zitoa sasa ah ndiyo ile pass IPO kwenye account tuu ukitaka kutoa wanafunga account ah hauwezi kabisa. Na hizo 5mil ah 100,000 ni real account ah funded account ?!
 
Sawa hizo hela zote wanaweza zitoa sasa ah ndiyo ile pass IPO kwenye account tuu ukitaka kutoa wanafunga account ah hauwezi kabisa. Na hizo 5mil ah 100,000 ni real account ah funded account ?!
Real mzee unazitoa vyema tu mbona, funded iyo ni njia ingine ya kupata mtaji kwa haraka
 
10 year nipo kwenye forex total profit usd 97890.lose 35000
tatizo la watu wanajua ni betting hakuna displini tena pear kama XAUUSD kukuacha maskini ni kugusa
 
Sawa hizo hela zote wanaweza zitoa sasa ah ndiyo ile pass IPO kwenye account tuu ukitaka kutoa wanafunga account ah hauwezi kabisa. Na hizo 5mil ah 100,000 ni real account ah funded account ?!
unataoa tena kwa sasa mpaka mpesa,tigo pesa,airtel na binance ndio habari
 
Forex trading in Tanzania has seen significant growth, with many individuals exploring it as a potential income source. However, it's essential to be aware of the challenges and risks involved. The Bank of Tanzania oversees forex activities, and recent regulations have been introduced to ensure fair practices.

Given the market's volatility, many traders are turning to automated solutions like a trading robot to assist in making informed decisions. These tools can analyze market trends and execute trades based on predefined criteria, potentially reducing the emotional aspect of trading.
 
10 year nipo kwenye forex total profit usd 97890.lose 35000
tatizo la watu wanajua ni betting hakuna displini tena pear kama XAUUSD kukuacha maskini ni kugusa
Dah umegusa penyewe hiyo pair staki hata kuisikia nilikuza akaunti toka dollar 100 ikafika dollar 400 ndani ya mwezi...

Lengo langu ilikua ndani ya miezi 6 niwe na dollar 5000+... Aisee nikajichanganya na hiyo pair, bahati mbaya sana mi hua na-hold so naweza weka trade nikarudi kuichungulia baada ya siku tatu au zaidi na hua siweki SL wala TP...

Aisee siku naingia nakuta akaunti n nyeupee pee! Haina hata dollar 1..
Nilichoka nimejifunza kua ukitaka kufanya poa kwenye fx trade kile unachokijua..
 
Back
Top Bottom