The Truth Has Been Revealed (KQ wana ndege 3 tu)

kuendesha biashara ya airline sio jambo dogo hata kidogo imahitaji upembuzi yakinifu wa kutosha kabisa. Big airline worldclass kama SWISSAIR ilifilisika mwaka 2002 pamoja nakuwa na midege yake mikubwamikubwa, hata haya mashirika BA na huyu ana uwanja wake binafsi,KLM,AA yanapost hasara, hii biashara si mchezo hasa katika kipindi hiki ambapo hatujui mafuta kesho yataamka yana bei gani
 
My friend joto la jiwe you are simply mistaking your unity and politeness for democracy,now here is the thing,let me dig a little deeper.Democracy is only one element coexisting in a social fabric of many and varied institutions,political parties,organasitions and associations.this diversity is called pluralism and its assumes that many organized groups and institutions in a democratic society do not depend upon government for their existence,legitimacy or authority,for instance in Tz CCM is government and government is CCM,it is the order of the day.its machinery and state capture is too deep and entrenched to tolerate dissidence.your opposition is practically dead and voiceless,civil society is non existant,civil liberties ,labour unions are tightly choked and whiped to shape..but take a look at kenya its the exact replica,protests are the order of the day,our nurses are at it again,our constitutional court is about to decriminalize lgbt activities,heck we even overturned a presidential election..do you still need more proof.look,thousands of private organizations operate in a democratic society,some local,some national,many of them serve a mediating role between individuals and the complex social and government institutions of which they are part,filling roles not given to the government and offering individuals to exercise their rights and responsibilities as citizens of a democracy.these groups represents the interest of their members in a variety of ways by sipporting candidates for public office,debating issues and trying to influence policy decesions.through such groups individuals have an avenue for meaningful participation both in government and their own communities ,,,nuff said
 
Sijasoma hii coment yako. Unatoa upupu tu

God save us
 
I have said to you that, all those that you have mentioned are known as indicators of democracy as defined by UN, by using the same indicators, UN has been ranking Tanzania far ahead of Kenya since independence except this year. But because you Kenyans have the tenencies of grandiose, you think you are better.

Now on what ground do you get support for your argument if UN is always put Tanzania far ahead of Kenya?. Even by naked eyes you can see clearly that Kenya's democracy is far behind, in every election, many Kenyans die, demonstrators are killed like wild animals but nor one is punished for that.

Political parties are based on tribes and geographical areas, there is nor single political party in Kenya that represents all Kenyans. In Kenya if you are not a Kikuyu, kalenjin, jaluo, Luhya, or Kamba, forget about presidential position, what democracy is that?.

80% of government civil servants are either Kikuyu or Kalenjin. Kenya apart from too much talking and boasting yourselves, your democracy is far behind of Tanzania according to UN ranking, but if you have your own way of defining democracy, then you can rank Kenya above Tanzania.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fastjet wameondoka kwa mizengwe ya kisiasa na si ushindani wa Biashara.

Sent using Jamii Forums mobile app
Correction Fastjet hawajaondoka, bali hawana ndege, wameshaambiwa wakipata ndege zinazokidhi viwango waendelee na shughuli kama zamani.

Hebu jiulize mbona Precision Air wapo toka zamani, Fastjet waliwakuta sokoni na wamewaacha sokoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikuulizeswali ili tuwe sawa, ATCL wana ndege ngapi? Nadhani upeo wetu wa kufikiri ni mdogo sana ndege za ATCL zote wanakodi serikalini, leo tunawaona wakenya walionza kufanya leasing wajinga, wakati nasisi tunafanya hivy hivyo, pathetic tanzania thinking always stupid. Kama kenya airways wanaweza kulipia ndege kama wanavytumia ubaya uko wapi, issue ni kenya as a country wana ndege ngapi hiyo ndiyo issue, ny8ngine ni wivu wa kitanzania
 
Tanzania external debt = $21 billion

Kenya external debt = $26 billion.

Hivi ni kusoma hamjui ama ni ujinga tu? 21 sasa imekua nusu ya 26? Alafu tia maanani Budget yetu ni zaidi ya mara mbili yenu na GDP yetu ni 160% yenu.
Kwenye bajeti yenu mlitegemea kukusanya fedha nyingi kwenye VAT ya mafuta ikadunda!!!!usisahau
 
Btw kenya is de facto one party state since hand shake that why jubilee awaweki mgombea wenzao wa ODM wakiweka mgombea
 
Zambia wanatengeneza ngozi
 
It is a good start but Ruto will be a litmus test
 
Now you have talked!!!!!!!???
 
Kipi muhimu na Bora,kununua Ndege Kwa cash then zijiendeshe Kwa hasara Kwa kutumia Kodi za Wananchi au kukodisha ndege na kuziendesha kibiashara kwa faida kubwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukinunua ndege kwa cash na ukikodi ndege gharam
Wewe n mbumbumbu kabisa shuleni ulisomea ujinga.GOK n shareholder wa KQ na unajua GOK inakusanya taxpayers money kuendesha nchi but unashindwa kuelewa loss ya KQ n mzigo kwa GOK na taxpayers wake

Una akili ya kuogea na kuvaa Nguo tu
 
Hujielewi wewe. Kiazi mbatata


God save us
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…