joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
wachilia mbali sarcasm, hata iwe nini lakini uliyosema ndiyo ukweli, umerudia aliyosema CS Balala, hongera sana kwakuwa muungwana.Hio Inaitwa sarcasm kwa kiingereza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wachilia mbali sarcasm, hata iwe nini lakini uliyosema ndiyo ukweli, umerudia aliyosema CS Balala, hongera sana kwakuwa muungwana.Hio Inaitwa sarcasm kwa kiingereza.
Mbona sio sisi tuliosema kwamba Kenya haina uwezo wa kupambana na Tanzania, ni CS Balala baada ya kupambana na Tanzania katika utalii kwa miaka mingi, leo amekiri kutoendelea kupambana na Tanzania, amesema Tanzania sio nchi ya mchezo mchezo[emoji38] [emoji38] [emoji38]Hawa watu ni wajinga sana,
Ni vizuri wanatumia kiswahili so watu wa countries zingine hawaoni,in
Hehehe, nice one! 😀 He was just enjoying himself over his maandazi, he really never saw it coming! 😀😀Hio Inaitwa sarcasm kwa kiingereza.
Tupatiange na trend ya domestic violance (towards men).![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
As you can see Kenya's tourism is on the up
Wamebakia ku-count every travelier that lands in Kenya as tourist. Haha wale on transit!
Naona hiyo 32.8% ya usambazaji wa umeme Tz haijakufikia bado! 😀😀😀[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Lazia tuzae na ninyi mwaka huu, andaeni nguo za watoto mtakaojifungua[emoji1] [emoji1]
pole sana ndg... endelea kutuonyesha screenshot kutoka katika data za kupika.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
As you can see Kenya's tourism is on the up
Wamorocco na wamisri ndo watakatika ngololo! 😀Haha sijawahi kuona watu wanaopnda kusherehekea ujinga kama hawa maBongolala wa LDC...mtu atafikiri tz ndio inaongoza bara kwa utalii kumbe ni watalii million 2 tu..sasa Morocco na Misri watafanya nini sababu wanapokea watalii zaidi ya millioni 9?
Wewe! Usijaribu kuambia watz wenzako ukweli. Hapa utachinjwa chinjwa mkuu!Kwani sisi tuna maendeleo gani kama sio data za kupika na tunaumbuliwa na IMF kila Mara?
CS wa utalii ameshakiri mziki wa Tanzania ni mzito, Kenya haina ubavu, mtafute CS wa Energy anaitwa Keter na yeye atakuambia jinsi mziki wa umeme ulivyo mzito zaidi kushinda hata utalii. Kifupi andaeni baby seaters haraka, lazima tuwazalishe tu[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Naona hiyo 32.8% ya usambazaji wa umeme Tz haijakufikia bado! 😀😀😀
Nyie mna akili ndiyo maana Al shabab wanawapenda.Data yenyewe imetoka kwa ministry of tourism....I swear Tanzanians are the most dumbest people on earth
Hahahaha thats exactly my thoughts...imagine if this forum was in English...watu wangetudharau sana na ni sababu ya hawa ...watz wanafungua thread za ujinga ujinga...for example
strongest currency sometimes cannot determine economy
The truth of the matter is we have lost tourists to Tanzania,people are losing jobs in Kenya
Haya ni maneno ya kukata tamaa na kushindwa, tatizo ninyi wakenya akili zenu sio nzuri hata kidogo, mkishindwa ni bora mkakubali na kurudi katika drawing table na kujiuliza kwanini mnashindwa, badala ya kutoa visingizio na sababu za kuhalalishwa kushindwa kwenu.Hongereni wa Tz........... Ila kwa hili kuna mambo mawili ningependa kuchangia.
1. Ingekuwa vema pamoja na kutambua watalii wengi wanakimbilia Tz, mngepata fursa
hiyo ku-capitalize on that. Sio tu kushabikia na kukunja nne na kipiga toat. Ingekuwa
ni sisi Kenyans, tungechangamkia hiyo fursa. We are resilient even in our moment
of weakness.
2. Tz ina vivutio viiiiiingi sana sana saaaaaaana. Sasa hivi, mngefaa kushindana na
South Africa, ila kwa sababu nyinyi ni Bongolala, mnaangalia kaskazini badala ya kusini.
Kenya ina vivutio, ila vichache ikilinganishwa na ninyi. Lakini pamoja na uchache wetu,
jaribu tu kuwaza iwapo tungekuwa sawa, tungekuwa na uzi huu??????????
My peni mbili..................
Hongereni wa Tz........... Ila kwa hili kuna mambo mawili ningependa kuchangia.
1. Ingekuwa vema pamoja na kutambua watalii wengi wanakimbilia Tz, mngepata fursa
hiyo ku-capitalize on that. Sio tu kushabikia na kukunja nne na kipiga toat. Ingekuwa
ni sisi Kenyans, tungechangamkia hiyo fursa. We are resilient even in our moment
of weakness.
2. Tz ina vivutio viiiiiingi sana sana saaaaaaana. Sasa hivi, mngefaa kushindana na
South Africa, ila kwa sababu nyinyi ni Bongolala, mnaangalia kaskazini badala ya kusini.
Kenya ina vivutio, ila vichache ikilinganishwa na ninyi. Lakini pamoja na uchache wetu,
jaribu tu kuwaza iwapo tungekuwa sawa, tungekuwa na uzi huu??????????
My peni mbili..................
Hahaha hawa watu hawaelewi hizi vituHehehe, nice one! 😀 He was just enjoying himself over his maandazi, he really never saw it coming! 😀😀
Don't tell them! 😀😀😀😀😀 They are still enjoying their maandazi!Hahaha hawa watu hawaelewi hizi vitu