The Ugandan Oil-Pipeline to be financed by TOTAL not WORLD BANK

mulisaaa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2017
Posts
6,969
Reaction score
7,027
Kutokana na hila chafu zinazo sambazwa na media za Kenya kuhusu world bank huku wakihisi nchi za EA bado zinaendeshwa kwa maneno imenibidi niweke leo record sawa.
Mradi wa bomba la mafuta haufaziliwi na world bank kama wakenya mnavyo fikilia bali ni TOTAL
Hi kampuni nikubwa na imebobea katika maswala ya mafuta. Hawafanyi mambo kwakubatisha. Walifanya research muda mrefu. Inawauma hasa wakikuyu ambao ndomnaongoza kwa unyangau lakini vumilieni. Magufuli hayumbishwi. Fanyenï kazi acheni kuweka nguvu zenu kwenye kusambaza habari fake. Dunia imebadilika, hapa kazi tu!!
Total readies Shs13 trillion for oil pipeline development
012016-Uganda-oil-pipe-linepix.jpg
French oil major Total S.A has said it will finance the development of the $4b (Shs13 trillion) crude oil export pipeline from Uganda’s Albertine Graben to Tanzania’s Tanga port at the Indian Ocean.

Mr Javier Rielo, the Total East Africa vice president, on Monday, assured Tanzanian President John Magufuli that “the company will begin construction of the pipeline project to transport oil from Uganda to Tanga as soon as possible, for funds to implement the project exist.”

According to a statement by the Tanzanian presidency, the two held talks on Monday at the State House in Dar es Salaam.
Mr Rielo, said, the statement indicated that the company “intended to spend nearly $4b on the project.

The meeting was also attended by the Tanzanian Energy minister Sospeter Muhongo who, according to the statement, expressed readiness to kick start the project immediately.

The news of the financing the 1,410-kilometre (876-mile) pipeline comes two weeks after the President Museveni and President Magufuli, meeting on the sidelines of the 17th Ordinary East African Community (EAC) summit in Arusha, “agreed” to develop the infrastructure via the southern route.

Uganda and Tanzania had last year in October signed a Memorandum of Understanding (MoU) for the development of the project after, leaving the earlier proposed route via Kenya hanging in balance.
 
The 25 poorest countries in the world
 
Hivi huu uzi unahusu nini haswa, maana nilijua tayari bomba mumeanza kujenga, nilijua mpo kwenye mahandaki mkiyachimba, yaani bado mpo nyuma kwenye makelele ya nani atakayefadhili.

Hamna sehemu imeandikwa kwamba benki kuu ndio itakayofadhili, wao walifanya kuponda umuhimu wa baadhi ya hii miradi, waliwapa ushauri wa kitaalam, hivyo kutupigia makelele humu mnapoteza muda wenu, mkawajibu hao huko huko.
 
Nenda katengeneze uzi zako zisizokuwa na mvuto humu JF😀😀😀
Kwanza tambua hiyo habari ya zamani. Nilichofanya nikuweka record sawa kutokana naile fake news ya "WB slams Uganda projects huku mkiongelea projects ambazo watapata faida. Najua inakuhuma ila vumilia. Wakikuyu mlirogwa, mmekuwa janga kubwa hapa East Africa. By 2020 mtatembea uchi.
 
Ata nyinyi mpike tu data mtoke kundi la aibu la LDC
Kiuhalisia tumeshatoka zamani. Niujinga kutoka wakati watu wanakufa njaa kama Kenya na wengine kutishia kuuwa watoto zao. Thats too bad
 
huku wakinyemelea kuingiza mifugo ktk ardhi ya jilani yake kwa lazima....
 
huku akipitisha wasomali, wahabeshi... kuja TZ kuelekea kusini mwa bara...
 
Back
Top Bottom