Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
Lilianza saa ngapi?Ulikuwa ni mpambano wa hatari, pambano lilikwisha saa moja asubuhi kwa masaa ya bongo..
Sasa si ulijua kuwa ni lazima one day angecha tu. By the alishakuwa babu na ndio.maana alikuwa analetwa kwa ajili ya wreslemania tuSitaangalia tena Wwe kama jamaa hayupo kwa kweli...i like this dude kwe kweli.
[emoji23] [emoji23]Miaka 52 lakin bado alikuwa na uwezo mkubwa kupambana. Tanzania yangu mtu wa miaka 52 akutane na zile spear za roman simsibaa
twafaaaa[emoji134] [emoji23] [emoji23] [emoji23] .Miaka 52 lakin bado alikuwa na uwezo mkubwa kupambana. Tanzania yangu mtu wa miaka 52 akutane na zile spear za roman simsibaa
Leo ilikuwa ni wrestlemania 33 imeanza saa nane usiku, pambano la ufunguzi lilikuwa kati ya Neville vs Austin na king of cruiserweight nevile ameuretein mkanda wake mpambano ulikuwa sio wa kitoto, na mapambano mengine mengi yalifuata Ila Mimi nilikuwa nasubiri mpambano wa smackdown women's division kuna mwanadada black america nilikuwa nataman anyanyue mkanda na kafanikiwa anaitwa Naomi a.k.a feel the glow....Amempin alexa akakubali mwenyewe. Na Ngoma ya funga dimba ilikuwa ni dead man vs super Dogy punch na kama sio ubishi wa reign taker alishashinda mapema sema Roman alimsubiri taker atumie nguvu zote na yy ndio akamuanza amepewa spear za ukweli hadi Leo kawa dead man kama alivyokuwa anafanya wenzake...... Roman alishatangaza anamstaafisha jamaa watu wengi wakachukulia masihara na kweli jamaa ameacha koti na kofia kwenye ulingo.... Tunasema thanx taker ameshinda wrestlemania 22 na kapigwa 2 tu mwaka juzi na lesner na ihii ya romanLilianza saa ngapi?
Too Sad kusikia hivyo, mimi ni mshabiki mkubwa wa The UnderTaker...Vivyo hivyo pia ni mshabiki wa Roman Reign(Coz anapambanaga Fair, ndo ninachompendea).Leo ilikuwa ni wrestlemania 33 imeanza saa nane usiku, pambano la ufunguzi lilikuwa kati ya Neville vs Austin na king of cruiserweight nevile ameuretein mkanda wake mpambano ulikuwa sio wa kitoto, na mapambano mengine mengi yalifuata Ila Mimi nilikuwa nasubiri mpambano wa smackdown women's division kuna mwanadada black america nilikuwa nataman anyanyue mkanda na kafanikiwa anaitwa Naomi a.k.a feel the glow....Amempin alexa akakubali mwenyewe. Na Ngoma ya funga dimba ilikuwa ni dead man vs super Dogy punch na kama sio ubishi wa reign taker alishashinda mapema sema Roman alimsubiri taker atumie nguvu zote na yy ndio akamuanza amepewa spear za ukweli hadi Leo kawa dead man kama alivyokuwa anafanya wenzake...... Roman alishatangaza anamstaafisha jamaa watu wengi wakachukulia masihara na kweli jamaa ameacha koti na kofia kwenye ulingo.... Tunasema thanx taker ameshinda wrestlemania 22 na kapigwa 2 tu mwaka juzi na lesner na ihii ya roman
Naupenda sana huu mchezo tatizo kinachonikwaza mchezo huu maigizo mengi mnoUnder Taker ni mmoja kati ya wanamieleka bora kuwahi kutokea katika WWE akiwa ameshawahi kubeba karibia mikanda yote ya mchezo huo, huku pambano lake la kwanza ikiwa mwaka 1984.
nadhani shabiki wake Return Of Undertaker keshaipata habari hii
View attachment 490675
Reigns nilijua taker lazima akae ila sikujua inaanza SAA ngapi daah nimekosa mengi...
Inaitwa super man punch co super dogy punch mkuu.Leo ilikuwa ni wrestlemania 33 imeanza saa nane usiku, pambano la ufunguzi lilikuwa kati ya Neville vs Austin na king of cruiserweight nevile ameuretein mkanda wake mpambano ulikuwa sio wa kitoto, na mapambano mengine mengi yalifuata Ila Mimi nilikuwa nasubiri mpambano wa smackdown women's division kuna mwanadada black america nilikuwa nataman anyanyue mkanda na kafanikiwa anaitwa Naomi a.k.a feel the glow....Amempin alexa akakubali mwenyewe. Na Ngoma ya funga dimba ilikuwa ni dead man vs super Dogy punch na kama sio ubishi wa reign taker alishashinda mapema sema Roman alimsubiri taker atumie nguvu zote na yy ndio akamuanza amepewa spear za ukweli hadi Leo kawa dead man kama alivyokuwa anafanya wenzake...... Roman alishatangaza anamstaafisha jamaa watu wengi wakachukulia masihara na kweli jamaa ameacha koti na kofia kwenye ulingo.... Tunasema thanx taker ameshinda wrestlemania 22 na kapigwa 2 tu mwaka juzi na lesner na ihii ya roman