Leo ilikuwa ni wrestlemania 33 imeanza saa nane usiku, pambano la ufunguzi lilikuwa kati ya Neville vs Austin na king of cruiserweight nevile ameuretein mkanda wake mpambano ulikuwa sio wa kitoto, na mapambano mengine mengi yalifuata Ila Mimi nilikuwa nasubiri mpambano wa smackdown women's division kuna mwanadada black america nilikuwa nataman anyanyue mkanda na kafanikiwa anaitwa Naomi a.k.a feel the glow....Amempin alexa akakubali mwenyewe. Na Ngoma ya funga dimba ilikuwa ni dead man vs super Dogy punch na kama sio ubishi wa reign taker alishashinda mapema sema Roman alimsubiri taker atumie nguvu zote na yy ndio akamuanza amepewa spear za ukweli hadi Leo kawa dead man kama alivyokuwa anafanya wenzake...... Roman alishatangaza anamstaafisha jamaa watu wengi wakachukulia masihara na kweli jamaa ameacha koti na kofia kwenye ulingo.... Tunasema thanx taker ameshinda wrestlemania 22 na kapigwa 2 tu mwaka juzi na lesner na ihii ya roman