Mh roman wako,,haya dadaangunimeona...mbaba na ubabe wake wote roman wangu kamkalisha hahhaahaa!!
True that[emoji123]Reigns is the best wrestler at the moment.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Zama zake zimekisha,bora ameacha angepigwa haya na shasha banks
Nimependa maneno ya Reign kwa Taker kuwa anamuheshimu na ni legendLeo ilikuwa ni wrestlemania 33 imeanza saa nane usiku, pambano la ufunguzi lilikuwa kati ya Neville vs Austin na king of cruiserweight nevile ameuretein mkanda wake mpambano ulikuwa sio wa kitoto, na mapambano mengine mengi yalifuata Ila Mimi nilikuwa nasubiri mpambano wa smackdown women's division kuna mwanadada black america nilikuwa nataman anyanyue mkanda na kafanikiwa anaitwa Naomi a.k.a feel the glow....Amempin alexa akakubali mwenyewe. Na Ngoma ya funga dimba ilikuwa ni dead man vs super Dogy punch na kama sio ubishi wa reign taker alishashinda mapema sema Roman alimsubiri taker atumie nguvu zote na yy ndio akamuanza amepewa spear za ukweli hadi Leo kawa dead man kama alivyokuwa anafanya wenzake...... Roman alishatangaza anamstaafisha jamaa watu wengi wakachukulia masihara na kweli jamaa ameacha koti na kofia kwenye ulingo.... Tunasema thanx taker ameshinda wrestlemania 22 na kapigwa 2 tu mwaka juzi na lesner na ihii ya roman
Saa 8Lilianza saa ngapi?
kwani kuna tatizo kakangu??AN JUST SAYINGMh roman wako,,haya dadaangu
Wyatt kapigwa rko, randy bingwa.Jamani Vipi Randy vs Bray Wyatt?
Anaongeaga hivyohivyo "deadman" bado yupo sana, atarudi tuUnder Taker ni mmoja kati ya wanamieleka bora kuwahi kutokea katika WWE akiwa ameshawahi kubeba karibia mikanda yote ya mchezo huo, huku pambano lake la kwanza ikiwa mwaka 1984.
nadhani shabiki wake Return Of Undertaker keshaipata habari hii
View attachment 490675
Kwani muvi hamuangalii?Hehe hivi bado kuna mtu mzima anaamini miereka?
Its obvious kua it's fake.
Nimeuliza "kuamini" sio "kuangalia"Kwani muvi hamuangalii?
Atajamba kwanza kabla mambo mengine hayajatokea[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Miaka 52 lakin bado alikuwa na uwezo mkubwa kupambana. Tanzania yangu mtu wa miaka 52 akutane na zile spear za roman simsibaa