The UnderTaker astaafu mieleka baada ya kupoteza pambano dhidi ya Reigns

The UnderTaker astaafu mieleka baada ya kupoteza pambano dhidi ya Reigns

Hehe hivi bado kuna mtu mzima anaamini miereka?
Its obvious kua it's fake.
 
Zama zake zimekisha,bora ameacha angepigwa haya na shasha banks
 
Leo ilikuwa ni wrestlemania 33 imeanza saa nane usiku, pambano la ufunguzi lilikuwa kati ya Neville vs Austin na king of cruiserweight nevile ameuretein mkanda wake mpambano ulikuwa sio wa kitoto, na mapambano mengine mengi yalifuata Ila Mimi nilikuwa nasubiri mpambano wa smackdown women's division kuna mwanadada black america nilikuwa nataman anyanyue mkanda na kafanikiwa anaitwa Naomi a.k.a feel the glow....Amempin alexa akakubali mwenyewe. Na Ngoma ya funga dimba ilikuwa ni dead man vs super Dogy punch na kama sio ubishi wa reign taker alishashinda mapema sema Roman alimsubiri taker atumie nguvu zote na yy ndio akamuanza amepewa spear za ukweli hadi Leo kawa dead man kama alivyokuwa anafanya wenzake...... Roman alishatangaza anamstaafisha jamaa watu wengi wakachukulia masihara na kweli jamaa ameacha koti na kofia kwenye ulingo.... Tunasema thanx taker ameshinda wrestlemania 22 na kapigwa 2 tu mwaka juzi na lesner na ihii ya roman
Nimependa maneno ya Reign kwa Taker kuwa anamuheshimu na ni legend
 
Hivi huu mchezo hauna upangaji matokeo na uigizaji kweli..!?
Maana me nikiangalia huwa nahisi kama kila kitu kimepangwa kabla ya pambano..!
 
Mieleka si michezo ni maigizo inabidi ipostiwe jf chit chat huko.
 
Huu mchezo mzima unakuwa scripted kabisa na kuna kuwa na producer wa show aU mechi....na style zinazopigwaA huwa zinapigwa kwa ustadi wa juu saNa ndo maana inaitwa proffesional wrestling..mf styles kaMa tombstone na rko ni deadly styles kabisa...ndo maaana wwe syo sport bali ni entertainment
 
Back
Top Bottom