Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
“the beast“ brock lesnar ndio mbabe halisi wa wwe,itachukua muda mrefu sana kuuzima utawala wake ktk wweKwa sasa Roman hana mbabe wake, ile ngumi yake akiipiga chini akaiangalia halafu akatoa mlio kama mbwa mwitu kimbia tu broo...
Rand orton “viper“ alishinda na ndio bingwa wa wwe heavyweight mpyaJamani Vipi Randy vs Bray Wyatt?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Miaka 52 lakin bado alikuwa na uwezo mkubwa kupambana. Tanzania yangu mtu wa miaka 52 akutane na zile spear za roman simsibaa
Wyatt anashiriki kwa Mara YA tatu na zote anapoteza huyu jamaa ni kiazi Sana kwenye mic skill yupo vizuri Ila kwenye matendo zirooo... Alimpiga mikwara Sana mzee wa RKO but nashangaa kwenye mania kapigwaaa RKO moja matataJamani Vipi Randy vs Bray Wyatt?
Ingia u tube tafuta mechi ya Roman vs Lesnar halafu urudi hapa“the beast“ brock lesnar ndio mbabe halisi wa wwe,itachukua muda mrefu sana kuuzima utawala wake ktk wwe
Mic skills hakuna anayemfikia Chris JerichoWyatt anashiriki kwa Mara YA tatu na zote anapoteza huyu jamaa ni kiazi Sana kwenye mic skill yupo vizuri Ila kwenye matendo zirooo... Alimpiga mikwara Sana mzee wa RKO but nashangaa kwenye mania kapigwaaa RKO moja matata
Subiri akutane na Lesnar ndio utajua ufute vp kauli yakoKwa sasa Roman hana mbabe wake, ile ngumi yake akiipiga chini akaiangalia halafu akatoa mlio kama mbwa mwitu kimbia tu broo...
Wamewahi kukutana, mechi haikuisha ila ni kama Lesnar alikuwa anaelekea kukaaSubiri akutane na Lesnar ndio utajua ufute vp kauli yako