The UnderTaker astaafu mieleka baada ya kupoteza pambano dhidi ya Reigns

The UnderTaker astaafu mieleka baada ya kupoteza pambano dhidi ya Reigns

So sad. Taker ndo mpiganaji wangu bora kabisa WWE, ila hata mimi sikutarajia kama angetoa upinzani kiasi kile hasa kwa umri alionao.

Now he can rest. Pambano langu bora zaidi kwake ni la wrestlemania dhidi ya shawn michaels.
 
Jamani Vipi Randy vs Bray Wyatt?
Wyatt anashiriki kwa Mara YA tatu na zote anapoteza huyu jamaa ni kiazi Sana kwenye mic skill yupo vizuri Ila kwenye matendo zirooo... Alimpiga mikwara Sana mzee wa RKO but nashangaa kwenye mania kapigwaaa RKO moja matata
 
Mic skills hakuna anayemfikia Chris Jericho
 
Kwa sasa Roman hana mbabe wake, ile ngumi yake akiipiga chini akaiangalia halafu akatoa mlio kama mbwa mwitu kimbia tu broo...
Subiri akutane na Lesnar ndio utajua ufute vp kauli yako
 
Mtu mkubwa kiasi cha big show anapigwa kikofi eti anaregea kabisa dah!
 
The best wrestlers right now are Brock lesnar Roman reigns and rand Orton ...kidogo kuna aj style
 
Back
Top Bottom