Paula Paul
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,649
- 13,607
Imagine being so Genius, that people are still celebrating you and seeing you as genius, 500 yrs later.Hivi mbona mnamuabudu sana huyo da'vinci ilhali mnasikia tu stori zake....si engineer na mchoraji tu huyo...
It won't be worth on my side....ukifa ndo mwisho wako mwanadamu....ukumbukwe,usikumbukwe hizo anasa tu...Imagine being so Genius, that people are still celebrating you and seeing you as genius, 500 yrs later.
Roberto hautaki kuacha salama kwamba uliwahi kuishi?It won't be worth on my side....ukifa ndo mwisho wako mwanadamu....ukumbukwe,usikumbukwe hizo anasa tu...
Salute.
Wagiriki wana msemo wao unaitwa πολυμαθής "polymaths" wakimaanisha aliye na elimu pana au ni mtu ambae
anauwezo mkubwa katika mambo mbalimbali, anaweza kusovu mafumbo na kutatua au kutengeneza mambo magumu.
Unapotaja polymaths basi unakua unamtaja Leonardo Davinci baba wa vipaji. Davinci ndie inaaminika ndiyo binaadamu pekee ambaye alikua na vipawa lukuki, na kila alichokua anakifanya alikua anakifanya kwa 100%. Kila nyanja tafuta utamkuta huyu mtu ana mchango wake.
Uchoraji, falsafa, muziki, jeshini, sayansi, anga, ujenzi nk nk. Kiufupi Ndio polymaths namba moja duniani.
Kibongo bongo kwa muono wangu naona kuna watu wawili upande wa sanaa naweza wapa cheo hichi cha polymaths japo hawasatahili, ila haina budi kuwasifia maana usipopenda nakusifia chako nani atakisifia?
Najua Watanzania sio utaratibu wetu kumsifia, kumpa heshima, kumtia moyo, kumpenda mtu akiwa bado yuko hai kwakua roho zetu zimejaa chuki, wivu, kinyongo, roho mbaya, unafki na mambo mengine mabaya.
Tunasubiri mpaka mtu atutoke ndio tutamsifu na kwenda kumlilia na kuzimia mbele ya kamera msibani. Sijui ni tabia au laana tulizopewa kwa hali hii. Ila mtu kama anajua anajua tu Nobody
can take your destiny!
Hii ni orodha yangu ya wasanii wawili naona wamebarikiwa vipaji vingi wanafaa tuwaite Polymathes.
Huyu binaadamu kwa mimi naona ndion msanii mwenye vipaji vingi upande wa sanaa na kajitahidi kuvitumia kadri ya uwezo wake japo hajafanya kama inavyotakiwa kufanywa na polymaths.
- Emmanuel Mgaya “Masanja Mkandamizaji”
Masanja kafanya haya:-
o Kaimba Nyimbo za bongo fleva
o Kaimba nyimbo za injili
o Kaigiza Comedy
o Kaigiza muvi ambazo ni serious
o Kafanya standing up comedy
o Ni presenter mzuri
o Anaimba Rap (Kuchana)
o Ni dancer mzuri
o Ni mwinjilistii/muhubiri/Pastor (As he proclaiming himself)
Kwa mimi ambae namuona kwenye TV tu nimeyagundua hayo, sijui wanaoishi nae kama wanamuona anayo mengin. But the guy he got talent. Amejitahidi kwa kiasi kikubwa mno kuweza kutumia vipaji
vyake, sehemu moja tu msanii namba mbili amemuacha mbali mno.
Huyu ndio anafungia orodha yangu kati ya wasanii wenye vipaji au walioweza kuvitumia vipaji vyao ipasavyo. Ukiweka chuki pembeni utakubaliana nami jamaa anakipaji.
- Naseeb Abdul “Diamond Platinumz”
Diamond kafanya na anaweza
kufanya haya:
o Kaimba RnB
o Kiamba Zouk/rhumba
o Kaimba Rap
o Kaimba mchiriku
o Kaimba taarabu
o Nk Nk.
Kwa upande wa Diamond nimemuweka kwasababu kaimba aina nyingi za muziki (Genre) ila hana vipaji vingi kama masanja. Ila pamoja na yote Diamond kawashinda mbali wasanii wote, huyu jamaa kikubwa alichojaliwa ambacho wengine hawana ni Smartness. Jamaa kajaliwa akili na nidhamu katika anachokifanya na hapa ndipo anapowapiga bao wasanii wenzake wote, hadi Masanja.
Ana akili ya biashara na akili ya kujenga na kulinda Brand yake. Anaweza kubadirika kutokana na mziki anaotaka kuimba, anaweza kuimbia wahuni, wanawake, watoto, wazee, watu wa rika zote. Kiufupi jamaa ni genius by Nature kama alivyo Jay Z. Dogo katoka 0% mpaka leo yupo level ya mbali.
Majina huumba, jamaa alijichagulia jina la Dangote sio kwa bahati mbaya! Alikua ashaona mind yake ilivyo na uchu wa kupata mafanikio na kufanikisha kila anachotamani kufanya. Leo hii ni Boss au bilionea kati ya mabilionea waliopo Tanzania.
Mungu bana ni waajabu sana hakunyimi vyote, anaweza kukupa
sura mbaya na umaskini afu akakupatia Akili inayoworth mabilioni au anaweza kukupa sura mbaya, akili huna ila akakupa zali la mentali, yaani mafanikio yanakuwinda wewe tu automatically. Actually nobody knows how exactly this world work.
Kuna watu watasema labda ni utimu mbon Ali K anafanya yote hayo, mtu atakayemtetea ally katika hili atakua anashida. Alikiba sifa yake kuu ni Conservative /unchangeable, Hawezi kubadirika kabisa japo kajaliwa nyota ya kupendwa, sauti na utunzi mzuri. Hana akili yak u-manage resources zinazomzunguka. Yaani Human resources ambazo ni sisi Mashabiki wake.
Hajui kabisa mashabiki wanataka nini na kwa muda upi. Kisingizio Privacy and im doing this for fun! Jeeez for fun n privacy wakati ndio sehemu iliyokutambulisha hadi tumekujua?
Achana na wanaoongopea watu eti muziki ni dhambi, ni wivu na roho za kimaskin ndio zinafanya waseme hayo maana kweli wengi wanaosema hivo hua hawajui hata keshokuta watakula nini. Very broke in pocket and in brain. Mungu kakupa kipaji, kipaji mali yako kitumie hawezi kukupa Dhambi ila yatokanayo na kipaji ndio yanaweza kua dhambi!
Ifike muda wasanii wa-admit kua jamaa kawaacha mbali sana hasa kwenye upande wa brain na nidhamu, usipoweza kumpiga mfanye awe rafiki yako ili ujifunze jinsi ya kumpiga! Masanja anavipaji vingi ila kashindwa mbali na huyu jamaa. Tujifunze kutambua potential na vipaji vyetu, uweke nidhamu
mbele katika vitu tunafanyavyo. Mafanikio yamebebwa na nidhamu.
Je, nini kifanyike wasanii wetu wenye vipaji vizuri waweze kuvitumia na kunufaika na vipaji vyao?
The End
Vinci
Naungana na wewe kabisa kwa 100%.Ukiongelea music Tz kwa binafsi yangu nitamuona BARNABA
Mtunzi mzuri sana
Vocals on point (live peformance)
Anaweza kuimba nyimbo za genres tofauti
Music producer
Kitu diamond amemzidi ni Biashara....
Hapo kidogo tu ukosee kumtaja ally kiba.... Maana ndo msanii mwenye upeo mdogo kuliko wote... Can u bilieve mpaka leo hii anaamini anarogwa?Salute.

Kuacha alama ni vizuri mkuu....hata mie napenda pia...... But hiyo haitakuwa na msaada kwangu kipindi hicho...itakuwa ni sifa tu nisizozifaidi..... Ila kukuelewa nimekuelewa.Roberto hautaki kuacha salama kwamba uliwahi kuishi?
Asante Roberto.Kuacha alama ni vizuri mkuu....hata mie napenda pia...... But hiyo haitakuwa na msaada kwangu kipindi hicho...itakuwa ni sifa tu nisizozifaidi..... Ila kukuelewa nimekuelewa.
👍👊👊🙏🙏🙏🙏Asante Roberto.

Miss you too MkweVers miss yo