The undisputed and magnificent artists: Wasanii wenye uwezo mkubwa zaidi Bongo

Hakika mkuu, kuna somo la kujifunza, yule jamaa yupo smart and very creative. Kiufupi he is gifted, anajua namna ya kutumia jina lake, wapo wasanii wapo mda mrefu sana ila wamaekumbatia mashabiki wengi na huwajui namna ya kuwatumia kuingiza kipato cha ziada.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili somo haliwahusu kina mondi tu hata sisi umetukumbusha kitu, kubweteka na kutosoma mchezo ndio kitu kinachotukwamisha
 
Ukiongelea music Tz kwa binafsi yangu nitamuona BARNABA

Mtunzi mzuri sana
Vocals on point (live peformance)
Anaweza kuimba nyimbo za genres tofauti
Music producer

Kitu diamond amemzidi ni Biashara....
Ni msanii mzuri ila hana common sense sikiliza interview zake
 
Hapa niko nabishana na Bamdogo kuhusu mondii na Alikiba
 

upo sawa sana na sikupingi ila kuna Darassa, huyu pia ni msanii mzur sana. Ahsante


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Huu uzi ni wa Chibu tu sema mleta uzi umeamua kutokuwa wazi na kumuweka na masanja , sasa masanja kwa muziki gani mkuu???
"Peeepo pepooo, kemea pepoooo" 😂😂😂

By the way nakubaliana na wewe kwa Nasib, Jamaa ni GURU wa muziki wa Bongo flava kwa sasaa.
 
Ukiongelea music Tz kwa binafsi yangu nitamuona BARNABA

Mtunzi mzuri sana
Vocals on point (live peformance)
Anaweza kuimba nyimbo za genres tofauti
Music producer

Kitu diamond amemzidi ni Biashara....
Barnaba he is the best singer, wabongo watakuja kumwelewa baadae,au kizazi kijacho kwa kua mziki wake unaishi, yeye haimbi vitu baadhi ya vijana watanzania wanapenda kusikia..haendi na upepo,upepo uliopo duniani ni.......mambo apendayo dj.......
Leo ukipigwa wimbo wa Mr.Paul -Buzi you feel it,though wengi hamkuwepo wakati unatungwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…