Kuna Messi wangapi?Ukibisha Uje na facts sitaki longolongo ntakupiga BAN la kufa mtu[emoji38][emoji38][emoji23][emoji23]View attachment 1049208View attachment 1049210
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeelewa achaga kubishanaKuna Messi wangapi?
Undisputed iendane na sifa sio jina. Messi is the undisputed free kick scorer kwa mfano.
acha hasira mkuuAcha kucheka ovyo
hiyo weka wewe mkuu, mbona rahisi tuWeka tangia UCL imeanza duniani na sio kwa msimu mmoja ebooooooh
usijitie upofuWeka top score wa mda wote UCL
Kwamba huoni au??Duuuuh ndo mnajipa moyo..?
Mi Muha. Ubishi upo kwenye DNAUmeelewa achaga kubishana
Hapo sawa mkuuMi Muha. Ubishi upo kwenye DNA
Hasira gani..?acha hasira mkuu
Ronaldo is a G.OA.TKwamba huoni au??
Weka kama unajiaminiusijitie upofu
Weka kama unajiamini
RONALDO THE G.O.ATDiamond anamkubali nani kati yao?
Cr7 BABA LAODiamond anamkubali nani kati yao?
unamaanisha MBUZI?? Basi sawa! ila siyo Great Of All TimeRonaldo is a G.OA.T
Cr7 BABA LAO
Sasa twende U.C.L ni nani mkuu ..?Messi hits Ronaldo’s record
Barcelona star Lionel Messi has hit Juventus striker Cristiano Ronaldo record on the number of goals scored at the club level.
When Messi scored twice in Barcelona's 5-1 clash against Valladolid in La Liga, the Argentine moved past his longtime Portuguese rival on club goals with 608 in 695 games, while Ronaldo has scored 606 goals in 813 clashes.
Messi hits Ronaldo’s record | NEWS.am Sport - All about sports
When Messi scored twice in Barcelona's 5-1 clash against Valladolid in La Liga…sport.news.am
Namaanisha(Greatest of all the time=G.O.AT)unamaanisha MBUZI?? Basi sawa! ila siyo Great Of All Time
Ninachokiona ligi ya spain ina uwiano mbovu sana kati ya timu kubwa na timu ndogo.....
Tumuombe messi akajaribu soka kwengine.... tangu ana miaka 13 mpaka umri huo yupo kwenye club hiyo hiyo.... barca ni messi na messi ni barca.... ana kipaji kikubwa sana, lakini mfumo wa barca unamnufaisha pia.
Kitu kimoja kwa ronaldo ambacho ni kikubwa sana kuweza kukabiliana na mikimiki ya huyu messi... bila ronaldo messi angekuwa ametamba kwa miaka 10 bila upinzani.... Neymar, Hazard wamefeli kuwa kwenye kiwango cha hawa jamaa.... mpira sio tennis kwamba utashindanisha wachezaji kwa kigezo cha one on one.....
Kutokana na aina ya uchezaji wa barca Ronaldo angelichezea timu hiyo angefanikiwa zaidi kuliko sehemu zote alizopita.... kucheza na akina oshea sio jambo rahisi.
Sent using Jamii Forums mobile app