The Undisputed Messi

The Undisputed Messi

Cr7 BABA LAO

Messi hits Ronaldo’s record
105032.jpg

Barcelona star Lionel Messi has hit Juventus striker Cristiano Ronaldo record on the number of goals scored at the club level.
When Messi scored twice in Barcelona's 5-1 clash against Valladolid in La Liga, the Argentine moved past his longtime Portuguese rival on club goals with 608 in 695 games, while Ronaldo has scored 606 goals in 813 clashes.

  • Thanks
Reactions: PNC

Sasa twende U.C.L ni nani mkuu ..?
 
Pamoja na uwiano mbovu kati ya timu kubwa na ndogo ligi ya Spain lkn unasahau kua wale giants wa ligi kuu Bora 5 ulaya ikiwemo EPL hua hawafui dafu kwa timu kubwa za Spain means Barcelona & real madrid
Ninachokiona ligi ya spain ina uwiano mbovu sana kati ya timu kubwa na timu ndogo.....

Tumuombe messi akajaribu soka kwengine.... tangu ana miaka 13 mpaka umri huo yupo kwenye club hiyo hiyo.... barca ni messi na messi ni barca.... ana kipaji kikubwa sana, lakini mfumo wa barca unamnufaisha pia.

Kitu kimoja kwa ronaldo ambacho ni kikubwa sana kuweza kukabiliana na mikimiki ya huyu messi... bila ronaldo messi angekuwa ametamba kwa miaka 10 bila upinzani.... Neymar, Hazard wamefeli kuwa kwenye kiwango cha hawa jamaa.... mpira sio tennis kwamba utashindanisha wachezaji kwa kigezo cha one on one.....

Kutokana na aina ya uchezaji wa barca Ronaldo angelichezea timu hiyo angefanikiwa zaidi kuliko sehemu zote alizopita.... kucheza na akina oshea sio jambo rahisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom