The Undisputed Messi

Hakuna mchezaji Kama Ronaldo na atakuja kutokaea.OVER

~.A Philanthropist|Economist|Business Consultant|Entrepreneur|Agricultural Applied &Natural Resources Economics Mentor.~
Njoo na takwim mkuu sio maneno matupu
 
Halafu kuna pimbi flan anafananishwa na huyu mwamba[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Huu uzi naona unaenda Circle tu, vyote hivi tumeshadiscuss huko nyuma.

Sawa Ronaldo Kacheza mechi nyingi, ila magoli zaidi ya 70 ya Messi ni hatua za Makundi unalizungumziaje hili?

Messi ana Goli 71 makundi na goli 29 kwenye 16 bora Jumla goli 100, ni goli 20 tu ndio Robo, nusu na Fainali.

Wakati Ronaldo yeye hafungi sana Vibonde anasubiria wale wakubwa.

Mfano Angalia Robo fainali
Messi mechi 23 Goli 12
Ronaldo mechi 22 goli goli 25

Hivyo unaona mashindano yakianza tu kuwa magumu efficiency ya Messi inapotea.

Ukienda nusu na Fainali vile vile Ronaldo anamkimbiza Messi nusu Ronaldo goli 13 Messi 6 tu, na Fainali Ronaldo Ana 4 Messi 2, fainali Ronaldo kazi funga timu tatu tofauti tofauti Chelsea, Atletico na Juve wakati Messi ni Man u tu.

Mkuu ukitoa man U mashindano yote makubwa Messi hajawahi funga
1. Copa America mechi 5 na dakika zaidi ya 540 jamaa Hana Goli
2. World cup fainali Hana Goli
3. Champions league fainali zote ambazo hawajacheza na Man u hana Goli.

Mnyonge mnyongeni Haki yake mpeni, Ronaldo amekuwa ni mfungaji wa Mechi muhimu sana, na Magoli yake ni Crucial kuzipa Timu yake ubingwa.
 
Mkuu unataka robo na fainali ili iweje???

Tuambie average goals per game tukuelewe
 
Huu ubishi hautakuja kufa abadan wa asilan.. Hawa wawili ni wachezaji wa daraja lao kwa kizazi chao, kila mtu anakiri jawa ni watu hatari mnoo, ila kinachotufanya tupigizane kelele ni ushabiki/mapenzi tu, sio uhalisia.. Style zao za uchezaji ni tofauti hivyo ni ngumu kuwafananisha ndio maana tunaishia kwenye statistics.. Binafdi mimi ni mshabiki wa ANDUNJE/NJITI.. kajamaa hata kasipofunga kana kupa burudani ya mchezo kwa aina ya mchezo wake, ila bado Ronaldo si wa kubezwa, zamani alikuwa anakupa burudani ya soka kama neymar ama luis nani, ila nahisi alipomsoma mpinzani wake ama kutaka kujiweka daraja la juu, akapata jibu dawa ni kutupia tu, na jamaa ni lifungaji kweli kweli, magoli mengi alitupia akiwa kama winga.


.........................................................
 
Messi is attacking midfielder, still anacheza kwenye hizo stats. Hivi hauoni maajabu ya huyo kiumbe!!!

Messi anachezesha timu, messi akipotea kuna uwezekano mkubwa timu ikapotea hiyo game

Cr7 yeye hachezeshi timu, timu ikipotea sababu sio yeye,
Cr7 is goal machine


Goal machine vs attacking midfielder
Still kwenye satats za goal machine anapata tabu kwa attacking midfielder

Ukitoa goals za penalty, nadhan hatutamuita tena goal machine
 
Mkuu unataka robo na fainali ili iweje???

Tuambie average goals per game tukuelewe
Kumfunga no name makundi na kufunga hattrick na bayern ni vitu viwili tofauti.

Angekuwa Messi anafunga fainali sasa hivi Angekuwa na copa America 5, world cup 1, usijibaraguze kulinganisha goli la fainali na makundi.

Leo hii schik na Ronaldo wamefunga magoli mengi Euro ila watu wanamuongelea Chiesa, japo hajawafikia hao magoli, sababu tu kiwango chake kilikuwa ni top level jinsi mashindano yanavyo progress.
 
Mkuu sijui umeanza kuangalia lini mpira ila unalinganisha Ronaldo na messi miaka yao wakiwa wamefika 30.

Hii ni career ya Ronaldo.
-Miaka ya 2004 mpaka 2007 pale Man u Ronaldo ni winga teleza ile old school kabisa anakimbia pembeni na kupiga cross,
-2007 mpaka 2009 anaondoka man U ni winga bado ila hawa mawinga wa kisasa tunaita inside Forward, yaani winga anayeingia ndani,
-alivyoenda Madrid maisha yake karibia yote kule yeye ni inside forward wa kushoto, kulia Di Maria katikati Benzema ama Higuain
-kwenye uzee tena baada ya Ronaldo kufikisha miaka 30 ndio a kaanza ku adapt kama striker, muulize mtu yoyote aliemuangalia Ronaldo toka mtoto atakupa jibu hili hili.

Messi nae hivyo hivyo alianza kama winger, hasa wa kulia.

Then kipindi cha pep akapewa majukumu kama ya false 9, design ya Firmino anavyocheza Liverpool sasa hivi.

Kipindi cha Enrique ni 4-3-3 ambapo Messi kulia, Neymar kushoto Suarez katikati.

Mkuu kama Messi Alikuwa ni midfielder unahisi ile Combo ya Xavi, Iniesta na bosquet ilikuwa inacheza wapi?
 
Ronaldo anayengunga fainali ana Euro ngapi
 
Ronaldo anayengunga fainali ana Euro ngapi
Mkuu copa America kuna Nchi 8 tu tena kubwa ni Brazil na Argentina tu.

Kwa ulaya ukiambiwa utaje timu kali 5 Portugal hawapo, ili Ronaldo abebe Uefa inabidi Ujerumani, Spain, Ufaransa, Italy, Ubelgiji na wengine wengi wote wawe vibaya.

Hio 2016 yenyewe bahati ilikuwa upande wao. Lakini jamaa kafight.
 
ukubwa wa Ulaya ni majina tu

Nchi kama Columbia Paragua Mexico Urugua Chile unaziita ndogo kwenye ulimwengu wa Soka???

Hauko siriazi mkuu

Ligi za Ulaya zimejaa Latin Americans
 
ukubwa wa Ulaya ni majina tu

Nchi kama Columbia Paragua Mexico Urugua Chile unaziita ndogo kwenye ulimwengu wa Soka???

Hauko siriazi mkuu

Ligi za Ulaya zimejaa Latin Americans


Takwim hazidanganyi acha vijisababu
 
ukubwa wa Ulaya ni majina tu

Nchi kama Columbia Paragua Mexico Urugua Chile unaziita ndogo kwenye ulimwengu wa Soka???

Hauko siriazi mkuu

Ligi za Ulaya zimejaa Latin Americans
Kwanza Mexico ni marekani ya kaskazini watoe.

Na copa America wapo vizuri sikatai ila huwezi fananisha Paraguay na Italy ama Chile na Ujerumani, ama Ufaransa na Uruguay

Brazil wanawabeba copa America, ukiwatoa hao, Hakuna Timu ya Copa inayoingia Top 5 ya Timu za Ulaya.
 






Mkuu kwa hizi takwimu unapata wapi ujasiri wa kubishana
 
View attachment 1859517


View attachment 1859518


Mkuu kwa hizi takwimu unapata wapi ujasiri wa kubishana
Hii hoja nimeshaijibu ila kichwa chako kigumu kuelewa na ndio maana unazunguka circle.

La liga ni rahisi kufunga kuliko ligi nyengine, mfano ligi ya uingereza huwezi kuta mtu anafunga goli 50 same kwa Serie A, ila la liga si Ronaldo na Messi tu ni kawaida kwa Etoo, forlan, na wengine wengi kufunga Goli za kutosha.

So fanya hivi
Weka stats za Ronaldo la liga na za Messi la liga tu usiweke za epl wala Serie A, halafu weka hio Goal per game ratio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…