M1 hapo kacheza England mwengne kacheza spain lkn wa spain ndo anaongoz kuzifunga izo big 6 zenu mnazosema ni ngumu na wapo ligi ngumu
Hlf nimeona juu unazngumzia pia eti serie A nayo ngumu kufunga kuliko la liga kwhy iyo ndo inaifanya bora...iyo serie A hata ndo sitak kuongelea kbs kwa sbb ni ligi ya ovyo ovyo tena sana kwa sbb Juventus amekua akidomonate tu ligi na Uefa ni wapumbav hawana cha maana kwhy ni ligi ya ovyo kbs wala sitak hata kuzungumzia.
Numbers uwa hazidanganyi ntabishana mnavoweza na december Messi anachukua ballon d'or ya number ya mchezaj wenu mgongon no.7..kwhy atakua anarepresent idadi ya ballon d'or za Messi kila akiingia uwanjan.
Mlisema kombe la kimataifa amechukua naona sasa mmekosa hoja mnatapatapa tu..nunber zinaongea kbs vzr hata macho yanawaonesha kbs nan bora kuliko mwenzie mnazipinga nafs zenu zinazosema ukwl wengne mnabishana tu kufny huu mnajadala kua relevant wkt sio hata wa maana kwa sbb kuna Mmoja ni bora kuliko mwenzake na huyo ni#Messi ambae December atakua na ballon d'or 7..bishana mnavoweza lkn huo ndo ukwl.
View attachment 1860850
Again hujaelewa point comment ya juu nimekujibu suala la Timu vs ligi.
Tuje Serie A, Umeona Euro? Serie A ime dominate kila sector kuanzia Man of the match wengi, Goli nyingi etc ukitoa hio zilipendwa ulio andika Serie A misimu miwili iliopita ilikuwa ni Ligi yenye Msisimko sana. Na timu zimetofautiana Kidogo kidogo quality.
Kuhusu Ronaldo vs Messi na hizo top 6 nayo pia ukiangalia Ki subjective kuna mengi ya kuongelea.
1. Ukitoa misimu yake ya mwisho Ronaldo hakuwa na Role ya kufunga Man united na wala hakufunga magoli mengi, unless ulikua ni mtoto Ronaldo Alikuwa ni mtu wa kudrible pembeni na kutoa cross mpaka misimu ya mwisho hasa kuanzia 2007 ndio akabadilika tulivyoanza kucheza 4-3-3
2. Messi amezionea sana Man U na Arsenal hilo sikatai sababu ni timu zinazofunguka na Messi anap3nda kucheza na timu za design hii.
-ila vs Chelsea ile tunayoijua ya kupaki Basi Messi alicheza mechi 7 hajawafunga goli hata 1, na sio tu hafungi Bali anatembea tembea tu uwanjani hata hajulikani anafanya nini, Messi anakuja kuwaunga Chelsea hizo 3 juzi hapa vs Kina William na David Luiz Chelsea mbovu. Kikawaida kipindi hicho tunajua Barca akikutana tu na Chelsea ni safari a Atoka, anakuja Kushinda Barca ile 2008 tena kwa kubebwa mpaka Barca wakaanza kuitwa Uefalona.
-ukija Vs Liverpool same Story Barca akikutana nao anaaga safari. Mara 2 Messi ameshindwa kuwapitisha Barcelona vs Liverpool.
Kati ya zote hizo Ni man U pekee ndio Messi amewafunga Hatua muhimu yaani fainali.
Ila Ronaldo kawafunga Man U, Chelsea, Liverpool na Arsenal hatua muhimu sana.
Mfano Arsenal na Chelsea ni kuipa Man U ubingwa wa UCL 2008 magoli ya nusu na Fainali yenyewe.